Msaada wa vyuo vinavyotua short course kwa wenye division four kabla ya kujiunga na diploma

Athumani kinglop

New Member
Jul 21, 2016
3
0
Wakuu Nimesikia kwamba NACTE wamefuta mafunzo ngazi ya certificate kwa teaching lakini kuna baadhi ya vyuo vinaendesha short course kwa wenye 4 ili kujiunga na diploma ni kweli? Kama ni kweli ni chuo kipi kwa hapa dar maana sivifahamu vyema vyuo vya ualimu, tafadhali!
 
Back
Top Bottom