Je PGD in Scientific Computing ya UDSM Inaweza Kum-bridge Mwanafunzi Kusoma MS. Computer Science?

Izc

JF-Expert Member
Aug 4, 2015
546
368
Salaam wana jukwaa.
Ningependa kujua kwamba je, PGD in Scientific Computing inayotolewa UDSM na college ya CONAS inaweza kumsaidia mwanafunzi ambaye hakusoma BS. CS kusoma MS. in Computer Science?

Mfano nimechukua BSc. Maths& ICT alafu nkachukua PGD in Scientific Computing, je naweza kusoma MS Computer Science?

Na kama haiwezekani nini alternative ili niweze kuwa computer programmer bila kusoma undergraduate course?
 
Back
Top Bottom