Mama Ndalichako tunaomba mabadiliko haya ya mtaala wa somo la kiingereza A-level

choga mkuu

JF-Expert Member
Apr 11, 2016
283
110
Mh Waziri wa elimu nakuomba sana uturudishie mada muhimu sana katika somo la kiingereza kidato cha tano na sita ,ambazo ni
1) Phonology
2) Syntax
3) Semantics
4) Morphology.
Turudishie maana ndo uti wa mgongo wa language
 
Pia aangalie physical geography igawanye O level Kila kidato kiwe NA physical japo 3 sub topics
 
Mh waziri Wa elimu nakuomba sana uturudishie mada muhim sana katika somo LA kiingereza kidato cha tano na sita ,ambazo ni
1) phonology
2) syntax
3) semantics
4) morphology.
Turudishie maana ndo uti Wa mgongo Wa language

Hatuna huwo muda, nenda Kenya au Uganda kasomee Kiingereza ukitaka!
 
Introduction to language
word formation
Speaking (phonology)
Listening
Writing
Reading
Translation and interpretation

hizi ndio topic za language 1 ambazo ukizifuatialia znamtengeneza mwanfunzi kutumia taaluma ya kiingereza katika mazngira yanayomzunguka kwa hyo kwangu Language 1 advnc imekaa kisasa sana kwn haimuandai mwanafunzi anayekariri Bali mwenye kuelewa
 
Imeua uwezo Wa wanafunzi kuwa mahiri ktk lugha.
 
Naunga hoja asilimia 100. Maana ilikua foundation wakija chuo. kwa wale amboa wanachukua Linguistics. Please please irudishe mama wetu
 
Mh waziri Wa elimu nakuomba sana uturudishie mada muhim sana katika somo LA kiingereza kidato cha tano na sita ,ambazo ni
1) phonology
2) syntax
3) semantics
4) morphology.
Turudishie maana ndo uti Wa mgongo Wa language
Kama wametoa hvo wameua kiingereza hasa phonology na sysntax ni uti wa mgongo wa language sijui hao walifikiria nini Mimi nilijua language kupitia sysntax na phonology
 
Hivi kuna madume yanasoma haya masomo ya wadada,na bado yanalalamika somo ni gumu?pathetic
Shame on you. Too barbaric. Let me reserve my comment. Nisije ninkwaribie weekend
Introduction to language
word formation
Speaking (phonology)
Listening
Writing
Reading
Translation and interpretation

hizi ndio topic za language 1 ambazo ukizifuatialia znamtengeneza mwanfunzi kutumia taaluma ya kiingereza katika mazngira yanayomzunguka kwa hyo kwangu Language 1 advnc imekaa kisasa sana kwn haimuandai mwanafunzi anayekariri Bali mwenye kuelewa
 
Hivi mkuu ulishawahi kujiuliza hiyo syntax inamsaidia nn mwanafunzi katika kutumia kiingereza kuzungumza au kuandika?ile ni analysis ambayo ni useless ktk practical use.Syllabus ya sasa ni practical base.
Hiyo phonology ipo ktk spoken,morphology pia ipo ktk word formation.Kiufupi imekaa poa
 
Pia aangalie physical geography igawanye O level Kila kidato kiwe NA physical japo 3 sub topics
Mmmh wewe jamaa bhana hujaeleweka vizuri. Una maana gani kuwa kila kidato kiwe na sub topic tatu? Kwahiyo watoe topics zilizopo waweke subtopic, what I know form one wanajfunza foundation tu ya physical na practical, form two wanasoma human economic geog, form three ndio pana physical na form four pia,... Labda wewe una maana gani mkuu
 
Mh waziri Wa elimu nakuomba sana uturudishie mada muhim sana katika somo LA kiingereza kidato cha tano na sita ,ambazo ni
1) phonology
2) syntax
3) semantics
4) morphology.
Turudishie maana ndo uti Wa mgongo Wa language
A level yote tumesoma Phonology and morphology in paper 1 nilishkuru kuambiwa syntax haimo mziki mnene
 
Back
Top Bottom