Kujitangaza kwa vyuo na program zao mitandaoni

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,579
7,282
Huu ni msimu wa kujidahili kupitia NACTE na TCU ili kupata nafasi ya kujiunga na vyuo. TCU wametoa guide lakini cha kushangaza kuna vyuo huwezi kupata taarifa za program wanazotoa ukiacha hii guide ya TCU. Chuo kina website lakini kitu kama prospectus huioni au kuipata kwenye mtandao. Mathlani chukua mfano wa program ya Bachelor of Science in Economics and Finance na ile ya Bachelor of Economics and Finance. TCU wametaja vyuo viwili lakini ukiingia websites za hivyo vyuo hupati prospectus au maelezo ya kutosha kuhusu hizi programs. Zinafanana au kupishana vipi etc. Chuo kikuu kama cha UDOM unajiuliza kwa nini huoni prospectus yake kwenye mtandao? Je vyuo hivi vinawatendea haki wahitaji wa hizi programs?
 
Subiri nchi ndo inatoka kuamka sasa baada ya usingizi mkubwa wa pono.
Songombingo tu hakuna kinachoeleweka.
 
NACTE kwani wametangaza new application? anayefahamu naomba sifa ya diploma in secondary. E mbili inatosha kwa udahili?
 
Subiri nchi ndo inatoka kuamka sasa baada ya usingizi mkubwa wa pono.
Songombingo tu hakuna kinachoeleweka.
Labda itakapokuwa shida kupata wanafunzi ndio wataamka. Sasa hivi inaelekea wanafunzi ni wengi zaidi ya nafasi zilizopo ndio maana hawa invest kwenye utoaji taarifa sahihi na wakati muafaka.
 
Back
Top Bottom