umeitwa kwenye interview gani mkuu?Habari zenu.
Niko na diploma ya procurement, Nshawahi fanya interviews za kazi nyingine lakini si ya kazi ya Procurement. Msaada nataka kujua interview za procurement zinakuwaje both oral and written, mtindo wa maswali yake unakujaje?
iko poa kinyamaNi kampuni inadeal na packaging