Advanced diploma vs Bachelor degree

SODOKA

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,658
722
Mambo....Hello..Hi

Is an Advanced Diploma the same as a Bachelor's degree in Tanzania?

What are the similarities/differences in exit options?

Anything else one should think about if one doesn't have a bachelor, when deciding between the two?

Naombeni ushauri na mchango wenu wasomi wa JF najua humu kuna vipanga wengi sana...wanaokula mema ya nchi na wanaosaka ajira kitaani lakini bado wazima kiakili....tiririkeni wadau wangu wa nguvu.....
 
Acha kulinganisha degree na vitu vya ajabu.

Degree unakufa na mhadhiri sio diploma unatungiwa mtihani na bodi.
 
Mambo....Hello..Hi

Is an Advanced Diploma the same as a Bachelor's degree in Tanzania?

What are the similarities/differences in exit options?

Anything else one should think about if one doesn't have a bachelor, when deciding between the two?

Naombeni ushauri na mchango wenu wasomi wa JF najua humu kuna vipanga wengi sana...wanaokula mema ya nchi na wanaosaka ajira kitaani lakini bado wazima kiakili....tiririkeni wadau wangu wa nguvu.....
Advanced diploma ni equivalent na bachelor degree, hata kazi zikitangazwa wanaandika Advanced diploma /Bachelor degree ya kitu flani bt kwa sasa vyuo vilivyokuwa vinatoa Advanced diploma ilibadilishwa kwa sasa wanatoa bachelor degree.
 
Mkuu paragraph ya pili hapo, UPO SERIOUS ama?
Kweli kabisa, mhadhiri akiamua degree ya miaka mitatu uisome kwa miaka minne au mitano utaisoma tu.

Ukifanya mbwembwe anakubebesha, wenzako wakiwa kazini ww unarudi shule kusoma kozi moja tu.

Kuna dada alikua mjamzito na hajatimiza course work so haruhusiwi kufanya UE akaenda kumuomba lecturer ampe 0.5 marks ili awe na sifa ya kufanya UE. Aliulizwa "ntakusaidiaje na hiyo hali yako?" sasa jiulize nini shabaha ya hilo swali.
 
Amoxlin kama huna hujualo bora kukaa kimya.

Kukusaidia ipo hv: Advanced Diploma ambayo kwa sasa inaitwa Higher Diploma inasomwa miaka 3 sawa na digrii nyingi. Kuna baadhi ya Ordinary Diploma pia husomwa kwa miaka 3 mfano nyingi za Afya ama engineering!

Kwa mujibu wa NACTE Advanced Diploma ni Level 7 wakati Bachelors ni Level 8, huku Ordinary Diploma ni Level 6.

Lengo hasa na Advanced Diploma ilikuwa ni kuwatengeneza vijana wenye 'practical experience' ya wanachokisomea, wakati Degree lengo lake kubwa lilikuwa ni kuwajenga vijana kinadharia zaidi. Na ndipo unapoona Advanced Diploma hutolewa na non university institutions ambapo kwa lugha nyingine ni vyuo vya ufundi.

Mtu mwenye Advanced Diploma akisimama na mtu mwenye Degree kiuzoefu nadhani wa degree atahemea pumzi ya ziada (hapo zamani).

Kwa mfano miaka ya nyuma bodi ya uhasibu, NBAA ilikuwa haiwaruhusu candidates waliomaliza Bachelors ya uhasibu ku sit Final Level ya exams ya NBAA ilhali waliosoma Advanced Diploma waliosoma accounts ndio pekee wanaoruhusiwa ku sit for Final Exams za NBAA kwa CPA aspirants. Lkn kwa sasa hali ni tofauti baada ya wanaosoma degree ku adapt mfumo wa usomaji wa Advanced Diploma yaani 'practical experience'

Kwamba wanaosoma Degree wanahenyeka kwa taabu ndivyo hivyo kwa wanaosoma Advanced Diploma lecturer anashikilia hatma ya mwanafunzi.

Mfano wa vyuo vya ufundi ni IFM, TIA, CBE nk kwa sasa hawatoi tena Advanced Diploma!
 
Mkuu TheDealer nilikuwa nasubiri mtu atakae mjibu jamaa kwa nafasi, nashukuru umeniwakilisha vizuri. Naunga mkono hoja, hakuna chuo cha Adv diploma, mitihani inatungwa na BODY. Labda sio Tanzania hii!

Amoxlin kama huna hujualo bora kukaa kimya.

Kukusaidia ipo hv: Advanced Diploma ambayo kwa sasa inaitwa Higher Diploma inasomwa miaka 3 sawa na digrii nyingi. Kuna baadhi ya Ordinary Diploma pia husomwa kwa miaka 3 mfano nyingi za Afya ama engineering!

Kwa mujibu wa NACTE Advanced Diploma ni Level 7 wakati Bachelors ni Level 8, huku Ordinary Diploma ni Level 6. Lengo hasa na Advanced Diploma ilikuwa ni kuwatengeneza vijana wenye 'practical experience' ya wanachokisomea, wakati Degree lengo lake kubwa lilikuwa ni kuwajenga vijana kinadharia zaidi. Na ndipo unapoona Advanced Diploma hutolewa na non university institutions ambapo kwa lugha nyingine ni vyuo vya ufundi.

Mtu mwenye Advanced Diploma akisimama na mtu mwenye Degree kiuzoefu nadhani wa degree atahemea pumzi ya ziada (hapo zamani).

Kwa mfano miaka ya nyuma bodi ya uhasibu, NBAA ilikuwa haiwaruhusu candidates waliomaliza Bachelors ya uhasibu ku sit Final Level ya exams ya NBAA ilhali waliosoma Advanced Diploma waliosoma accounts ndio pekee wanaoruhusiwa ku sit for Final Exams za NBAA kwa CPA aspirants. Lkn kwa sasa hali ni tofauti baada ya wanaosoma degree ku adapt mfumo wa usomaji wa Advanced Diploma yaani 'practical experience'

Kwamba wanaosoma Degree wanahenyeka kwa taabu ndivyo hivyo kwa wanaosoma Advanced Diploma lecturer anashikilia hatma ya mwanafunzi.

Mfano wa vyuo vya ufundi ni IFM, TIA, CBE nk kwa sasa hawatoi tena Advanced Diploma!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom