NACTE hawana tatizo

NACTE hawana tatizo

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
930
Reaction score
1,300
Watu wengi wanawalaumu nacte kuwa mbona safari hii hawaeleweki juu ya nafasi za vyuo vya serikali, ni kwamba kumbuka vyuo vya serikali vimejaa vyote, na hii inatokana na kiwa wanafunzi wa dodoma wameamishiwa vyuo vya mwalimu , kumbuka ni mwalimu wa sayansi hata wale wa msingi, hivyo Kwa mwaka huu ni shida kupata chuo cha serikali, na hata vyuoni watu wanahamishwa hamishwa, hivyo nafasi zitakuwa chache sanaa bandugu, chuo vimetapika hakuna nafasi, hivyo msiwalaumu nacte Kwa nyanja ya post za ualimu kwenye chuo cha serikali..

Watu waendelee kusubiri mpaka pale nacte wajilidhishe kuwa Kuna nafaai na hata kama zitakuwepo ni chache mno. ni mawazo yangu na Si mawazo au kauri ya nacte. huu ni mtazamo tu.
 
Back
Top Bottom