Naomba msaada niendelee vipi? Nimeshafanya registration NACTE sasa katika kuendelea na step ya pili kuna sehemu inaitaji ujaze taarifa za o level na ukimaliza inakuja option ya kujaza information...
THE UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM) SHINES
The University of Dodoma has shined during the 2nd Tanzania Women Engineers Convention and Exhibition (TAWECE) 2016, held in Dar es Salaam, today, August...
Bodi ya mikopo ya elimu ya Juu (HESLB) imetoa orodha ya majina ya wanafunzi walioshindwa kuhakiki taarifa zao. Ni hatari sana.
http://olas.heslb.go.tz/downloads/WANAFUNZI_WASIOHAKIKIWA.pdf
Wanajukwaa wazima?
Mi mzima nauliza kama ulifaulu NABE |,NABE || na NABE |||.Pia una vyeti vyote vitatu.na O level ulisoma commerce na bookkeeping ukaifaulu vizuri ,pia A level ukawa umesoma ECA...
msaada jamani niupi utafauti wa hizi kozi? naje ukisoma BAF-Ps lazima uajiriwe na Serikali tu au ata private unachukuliwa?
samahani kwa wewe utakaeona nimeuliza swali la kijinga
najua...
Wadau nahitaji kukifahamu chuo hiki mazingira yakoje?Kuna hostel?
Je mwaka huu kuna sponsorship government ?Tarehe ya kuripoti lini na utaratibu wa join instruction uko vipi kwa ngazi ya cheti...
Mimi ni mwalimu wa masomo ya physics na mathematics, (degree holder) nina experience ya miaka 5 sasa...... Natafuta Kazi ya kufundisha masomo hayo kwa Level zote (alevel na olevel) kwa wanaohitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.