Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

HSM
Jaman HSM hii ni program nimeiona mzumbe university morogoro kwa wasiyo ijua kwa kirefu ni bachelor degree in health system management na ni miaka 3 tu nashindwa kuelewa kma program ya udokta...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
naomben ushaur mm chet cha form 4 nina c mbili na d moja na four ya 30 ila g.p.a nina 3.7 naweza kwenda chuo kikuu msaada
2 Reactions
10 Replies
4K Views
hivi wadau kwa wale diploma holder mlio aply kwenda degree iv ni vyeti gan vinavyoitajika kuaplod kwenye system??? plz vitaje vyote.
0 Reactions
0 Replies
645 Views
Habari Za jioni wakuu Kuna kijana amefeli form two kwenda form three twice , wazazi wanaumiza kichwa wafanye nini hili Dogo asome Je kuna chuo kinachopokea watu walioshia form two Au kuna shule...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
ndugu za ni sh ngap ku apply iyo? nimefatilia sijui wadau naomben mnifahamishe pasipo mzaa kuwa serious ukinijibu
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Please anyone who can help me the practical example of an agency problem and how it was solved?
0 Reactions
0 Replies
512 Views
Habari Wana JF, Ndugu wanaJF, naimani wadau wa elimu mnafaamu wazi kuwa NACTE walikuwa tayari wamefungua uombaji wa kudahiliwa katika taasisi za elimu ya juu kwa upande wa wale walio na stashahada...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Mimi mwalimu wa kwimba natafuta Mtu wa kubadilishana naye idara ya sec, uje kwimba Mimi nije Morogoro , mvomero, kilosa ,Namba 0622900502
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi kutoka mbeya aje songea (madaba) atakae hitaji anitafute 0755525131 elimu msingi
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Error! Provided Index/Registration and Examination/Graduation Year Names Mismatch with the names provided during registration, check the and try again (Code 4002) Ninapata hio error nikiingiza...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Kwa yoyote ambae anafahamu vizuri hormonal control of spermatogenesis jinsi inavyotokea kwenye mwili wa binadamu naomba anijuze(anielekeze) nimekwama hapa napiga msuli.
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Napenda kuulizia chaguo la awamu ya pili kwa kidato cha nne itakua lini maana kuna ndugu yangu ana div III ya 22 hajachaguliwa kwenda advance tulivyofatilia tukaambiwa asubili awamu ya pili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pof. Ndalichako Abaini Wanafunzi Hewa Zaidi ya 1000 Vyuo Vikuu WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako amesitisha malipo ya posho za kujikimu kwa wanafunzi wa vyuo vikuu...
2 Reactions
60 Replies
8K Views
Majina Yashatoka kwa Wale Wanaoenda Chuoni Hapo kwa Mwaka wa Masomo 2016/2017! Kama Umo Humu,au Ni Ndugu Yako Naomba Usigee Hapa,Tubadilishane Mawazo!
0 Reactions
76 Replies
13K Views
WADAU HABARI ZENU NAJUA HUMU KUNA WATU WENYE PROFFESIONAL NYINGI NAOMBA KUULIZA JE ?VYUO VYA VETA WAMEANZA KUTOA FOMU KWA AJIRI YA KUJIUNGA NA LONG COURSE MWAKANI?
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Habari wana JF.... yeyote mwenye join instruction form ya haydom school of nursing 2016 ani PM ,,,kuna binamu yangu amechaguliwa hapo DIPLOMA CLINICAL MEDICINE first round...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
NAFASI ZA KAZI MWALIMU WA UANDISHI WA HABARI NA MAWASILIANO YA UMMA (JOURNALISM AND MASSCOMMUNICATION). AFA AWE NA BACHELOR DEGREE YA JOURNALISM. WASILIANA NA MKUU WA CHUO EDEN HILLS COLLEGE...
0 Reactions
2 Replies
912 Views
Infamous test was dropped 30 years ago amid accusations its favoured those that were better off Exam will now be introduced for all applicants and will be tailored to suit different subjects First...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
1. Utaratibu wa kuvuliwa madaraka umekiukwa, kimsingi Katibu Tawala Mkoa ndie mteuzi wa Waalimu wakuu wa sekondari, hivyo si Mkurugenzi wala Mkuu wa Wilaya anaweza kuteua, kutengua au kuvua...
6 Reactions
19 Replies
6K Views
Nimelipia kupitia M-pesa napo weka ile vocher niliotumiwa na TCU na ambiwa hivi: "Sorry, either your payment transaction id is not valid or there was a delay in receiving your payment details...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom