Ndalichako naomba ututumbulie na haya majipu ya wakuu wa shule

Mwemary

JF-Expert Member
May 25, 2016
330
340
sekondari kwa hiyo njoo ututembelee na huku ututumbulie haya majipu ambayo yanadai yameinunua halmashauri
 
Ridiculous!
I don't see any point here, just personal hatred!

Hivi unajua wakuu wa shule wanavyoendesha shule kwa tabu siku hizi?

Kama una ushahidi wa hayo, kwanini usipeleke mahakamani? Au umemwona ndalichako ni mtu wa kufanyia kazi uzushi wa mitandaoni?

Poor mind
 
Heee! mbona umepata moto hivyo, shida nini?
 
kama na kale kasekondari ka CHETU kanahusika vile kwa hivyo vitabia! kuna mama moja pale hovyo xana.. taaluma ovyo, yeye hovyo yani shida tu.. walimu hawana ushauri wowote na wala hawasikilizwi
 
Mkuu wa kaliua shule ya sekondari ambayo mwaka jana ilikuwa katika 10 bora za mwisho ametumbuliwa jana baada ya kumfichia siri mwalimu mwenzake ambae alimpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha tano. Sasa kwanini huyu wa Uyumbu ambae ni jipu lililokomaa hatumbuliwi au amewanunua watumbuaji? Any way ngoja tuangalie hii movies
 
Wakuu wa shule nyingi wamekuwa ni kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya taaluma katika shule nyingi za sekondari hususani kuzigeuza kuwa saccos zao naikitokea mtu au mwalimu akauliza kuhusu hizo saccos mara nyingi huwa wanaitilafiana(conflict of interest). Na katika kulithibitisha hili nitatoa relevant example kwenye shule moja ambayo nilibahatika kupita nikiwa field. Na shule yenyewe ni Uyumbu ilioko mkoani Tabora Wilaya ya Urambo.
Nilipoishi pale kuna baadhi ya mambo ambayo niliweza kuyagundua na nitayaeleleza kama ifuatavyo
1.mkuu wa shule ndo kuwa kila kitu yeye ndo mhasibu, yeye ndo mwalimu wa zamu, yeye ndo matroni yeye anamiliki kila kitu waalimu anawageuza kama wanafunzi anawadevalue waalimu wake kwa wanafunzi.Pia Ameweka matabaka katiya ruled and rulers.
2.Amekuwa hajiamini katika maamuzi yake anayumba na amekuwa akiwatisha walimu wake akishirikiana na maafisa elimu sekondary wa wilaya ambao wamekuwa wakifika hapo mara kwa mara kutoa vitisho kwa walimu waliochini ya mkuu huyo.
3.huyu mkuu wa shule anadiploma na ikumbukwe shule hii ina advance level kwa hiyo mkuu huyu wa shule haruusiwi kuongoza ikizingatiwa wa urambo day aliondolewa Urambo high school kwa sababu anadiploma.
4.Mkuu huyu wa shule anatumia nguvu kubwa kuongoza akishirikiana na maafisa elimu sekondari pia amekuwa akiwahonga hela za shule ili kuficha maovu yake na wenyewe wameapa watamlinda mpaka siku ya mwisho.
5. Mkuu huyu ni fisad kwa sababu ametuma idadi kubwa ya wanafunzi wa kidato cha 5 wakati waliopo hawazid hamsini na hivyo kupiga pesa ya serikali ya chakula na ada akishirikiana na maafisa sekondari wake wanaomtetea.
6.Mkuu huyu ni jipu kwani amekuwa akiwalazimisha waalimu wakike kutembea nao na ukimkataa cha moto utakiona utasimamishiwa mshahara kwani hudai halmashauri yote iko chini yake.
7.mkuu huyu ni hatari wanafunzi wakike wanakoma, pia ana msichana wake mwalim (surbodinate) anafree pass ya kuondoka kituoni mda wowote na wakati wowote
Kwa uchache wake mkuu wa shule wa namna yupo hapa kwa sababu ya maslahi nahili halipo hapa uyumbu high school lipo katika shule nyingi za sekondari kwa hiyo njoo ututembelee na huku ututumbulie haya majipu ambayo yanadai yameinunua halmashauri
tarifa hii ni ya kupikwa au imetiwa chumvi kupita kiasi.....kwa mfano unasema ametuma majina mengi ya wanafunzi wa form 5 ili kujipatia pesa lakini tunajua wanaosoma elimu bure ni o level kwa hiyo swala la kutuma idadibya wanafunzi wengi wa kidato cha tano ni uzushi...unasema anatoa rushwa je ushahidi wa kutoa rushwa upo?..ninachokiona hao walimu wanamfharau head coz ana diploma na waoni digree holder...ila imeandikwa eshimuni kila malaka iliyoko duniani kwa sababu imewekwa na MUNGU
 
Huenda hufahamu kwamba serikali inatuma fedha za chakula kwa shule za bweni na ruzuku kulingana na idadi ya wanafunzi uliyotuma! Usitetee usichokijua, mleta mada yuko sahihi kabisa haya mambo yanafanywa na wakuu wa shule.
 
U

Unajus kuna wengine wanachangia hawajui lolote kaka wanajifanya much know we acha tu ndo tanzania yetu
 
Mhhhhhh kamanda umeongeza na udamvidamvi wako, andika barua ya wazi kwa ndalichako ukielezea hayo kisha mtumie kwa stamp ya tsh 1000 tu!!!

ila nionavyo mimi, mengi umeyapika......kwamba mwl wa kike akinkataa anamfungia salary.....KWA VIPI ??????
 
Wakuu wa shule nyingi wamekuwa ni kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya taaluma katika shule nyingi za sekondari hususani kuzigeuza kuwa saccos zao naikitokea mtu au mwalimu akauliza kuhusu hizo saccos mara nyingi huwa wanaitilafiana(conflict of interest). Na katika kulithibitisha hili nitatoa relevant example kwenye shule moja ambayo nilibahatika kupita nikiwa field. Na shule yenyewe ni Uyumbu ilioko mkoani Tabora Wilaya ya Urambo.
Nilipoishi pale kuna baadhi ya mambo ambayo niliweza kuyagundua na nitayaeleleza kama ifuatavyo
1.mkuu wa shule ndo kuwa kila kitu yeye ndo mhasibu, yeye ndo mwalimu wa zamu, yeye ndo matroni yeye anamiliki kila kitu waalimu anawageuza kama wanafunzi anawadevalue waalimu wake kwa wanafunzi.Pia Ameweka matabaka katiya ruled and rulers.
2.Amekuwa hajiamini katika maamuzi yake anayumba na amekuwa akiwatisha walimu wake akishirikiana na maafisa elimu sekondary wa wilaya ambao wamekuwa wakifika hapo mara kwa mara kutoa vitisho kwa walimu waliochini ya mkuu huyo.
3.huyu mkuu wa shule anadiploma na ikumbukwe shule hii ina advance level kwa hiyo mkuu huyu wa shule haruusiwi kuongoza ikizingatiwa wa urambo day aliondolewa Urambo high school kwa sababu anadiploma.
4.Mkuu huyu wa shule anatumia nguvu kubwa kuongoza akishirikiana na maafisa elimu sekondari pia amekuwa akiwahonga hela za shule ili kuficha maovu yake na wenyewe wameapa watamlinda mpaka siku ya mwisho.
5. Mkuu huyu ni fisad kwa sababu ametuma idadi kubwa ya wanafunzi wa kidato cha 5 wakati waliopo hawazid hamsini na hivyo kupiga pesa ya serikali ya chakula na ada akishirikiana na maafisa sekondari wake wanaomtetea.
6.Mkuu huyu ni jipu kwani amekuwa akiwalazimisha waalimu wakike kutembea nao na ukimkataa cha moto utakiona utasimamishiwa mshahara kwani hudai halmashauri yote iko chini yake.
7.mkuu huyu ni hatari wanafunzi wakike wanakoma, pia ana msichana wake mwalim (surbodinate) anafree pass ya kuondoka kituoni mda wowote na wakati wowote
Kwa uchache wake mkuu wa shule wa namna yupo hapa kwa sababu ya maslahi nahili halipo hapa uyumbu high school lipo katika shule nyingi za sekondari kwa hiyo njoo ututembelee na huku ututumbulie haya majipu ambayo yanadai yameinunua halmashauri
Mwambie Simbachawene. Hiyo ni kazi ya TAMISEMI.
 
Wewe ni Mwalimu wa shule tajwa, Na huna zaidi ya miaka mitatu kazini Na sio Mwalimu uliyepita hapo kama Mwalimu tarajali!

Epuka chuki za namna hii, hizi zinawafaa wanasiasa Na si katika kada hii ya kitaaluma, inaheshima Na utaratibu wake wa kuwasilisha hoja pale lenye mushkeli!

Yani kweli Mwalimu, unaona mapungufu ya Mkuu wako wa shule unaweza kuya generalize kwa wakuu wote wa shule Na hata kumwambia Prof. Ndalichako awatumbue wote! ha ha ha ha

Ukifanya kazi mwa juhudi kunalipa. Hebu chukua njia hiyo Na sio mkato wa namna hii!
 
Ridiculous!
I don't see any point here, just personal hatred!

Hivi unajua wakuu wa shule wanavyoendesha shule kwa tabu siku hizi?

Kama una ushahidi wa hayo, kwanini usipeleke mahakamani? Au umemwona ndalichako ni mtu wa kufanyia kazi uzushi wa mitandaoni?

Poor mind
Wewe utakuwa mkuu wa shule
 
Mwenye busara anazingatia hata kama aliye sema ni punguani! Huenda kuna kitu cha kufanyia kazi, si vizuri kupuuza.
 
Wewe ni Mwalimu wa shule tajwa, Na huna zaidi ya miaka mitatu kazini Na sio Mwalimu uliyepita hapo kama Mwalimu tarajali!

Epuka chuki za namna hii, hizi zinawafaa wanasiasa Na si katika kada hii ya kitaaluma, inaheshima Na utaratibu wake wa kuwasilisha hoja pale lenye mushkeli!

Yani kweli Mwalimu, unaona mapungufu ya Mkuu wako wa shule unaweza kuya generalize kwa wakuu wote wa shule Na hata kumwambia Prof. Ndalichako awatumbue wote! ha ha ha ha

Ukifanya kazi mwa juhudi kunalipa. Hebu chukua njia hiyo Na sio mkato wa namna hii!
Na wewe utakuwa mwalimu mlamba miguu ya wakuu ili upate maslahi au utakuwa ni mkuu wa shule wa aina hiyo.
 
Hiyo issue si lazima ishughulikiwe na Ndalichako au Simbachawene kwani ni ndogo mno. Mamlaka za utawala wilayani (Ofisi za elimu, ukaguzi wa shule, mkuu wa wilaya) au mamlaka za utawala mkoani (Ofisi za elimu, Afisa tawala wa mkoa au mkuu wa mkoa mwenyewe) zinaweza kabisa kutatua hizo changamoto (Kama kweli zipo) ulizowasilisha JF.
 
Na wewe utakuwa mwalimu mlamba miguu ya wakuu ili upate maslahi au utakuwa ni mkuu wa shule wa aina hiyo.
Hili ndio tatizo letu watanzania, kila wazo tofauti Na lako huwa "umetumwa" au "wewe Na we" ni hao hao.

Afadhali Na mie Leo umenipa cheo, Na kunipatia profession mpya!
 
Wanafunzi hewa waende uyumbu high school kwani mkuu wa shule ameigeuza secondary SACCOS yake na ashahuriki na miongoni mwa wakuu shule wanaotafuna hela ya serikali kwa kuandikisha idadi kubwa ya wanafunzi hasa ukizingatia form five wa mwaka jana aliandika waliofika ni 180 wakati waliopo ni hawazid 60 na hili analifanya akishirikiana na Afisa elimu sekondari na taaluma kupiga pesa kwa kuwapa 10% serikali iwafuatilie watu hawa ambao hawaitakii mema nchi yetu. Serikali inaingia gharama kubwa ya kupeleka pesa ya chakula for non exist students
 
Back
Top Bottom