Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Jamani hivi mbona mwaka huu bodi ya mikopo "heslb" wamechelewa sana kutoa majina ya wanafunzi watakaohitajika kwenda kurekebisha ili kama kuna mapungufu watu wakarekebishe kama kuweka sahihi...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu nina DDE pcm,mwanzo nilichagua mech DIT ila nimeambiwa kua sina vigezo,nataka nichange niweke mojawapo kati ya bsc general, bsc environmental science and management au bsc industrial eng and...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Habarini wanaJF. Nimeajiriwa mwaka jana kama mwalimu wa secondary. Baada ya kama miezi mitatu kuna tukio lilitendeka japo sikuhusika ilionekana mimi ndo chanzo. Mkuu alikuwa mkali hadi akanitamkia...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
wakuu naomba ufafanuzi juu ya ufaulu unaotakiwa mwaka huu kwa walioomba degree ya sheria UDSM na mzumbe ya Moro na mbeya ...maana kila mtu anasema yake uku eti lazima wenye division one mwisho ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Za mchana wanajamii forums,nilikuwa naulizia kama kuna mtu amechaguluwa hiki chuo,kwa sababu nimepigiwa simu leo wakasema nimechaguliwa nisubilie joining instruction nitatumiwa kwenye e-mail
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna bacheor of Urban &regional planning na hapa muda unaelekea kwisha. Sasa naulizia hiyo bachelor inayopatikana Ardhi university iko poa jamani?? Naomba kujua inahusika na nini?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Samahani Wadau wa Jamiiforums, Naomba kuuliza Kati ya Udsm na DIT wapi pametulia katika kozi ya Uhandisi wa Ujenzi (Civil Engineering), Hasa ukizingatia Competence ya Graduates kutoka vyuo Hivyo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri wa Elimu,sayansi,teknolojia na mafunzo ya ufundi, Prof Joyce Ndalichako,amesema sifa za kujiunga na vyuo vikuu na kidato cha tano zimepandishwa ili kuinua kiwango cha elimu ya juu. Ili...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
nliomba nafasi ya diploma vyuo mbalimbali jana kwenye profile yangu wakanitumia message kwamba nimechaguliwa chuo mojawapo kati ya nilivyoviomba,ila sasa cha kushangaza sa hv nafungua nakuta hamna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samahani wakuu, Kwa walioomba degree ya sheria UDSM na mzumbe ya Moro na Mbeya ufaulu wao unatakiwa uweje? Maana kila mtu anasema yake huku baadhi wanasema lazima division one mwisho ya point 7...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwenye Guide book ya udom ya watu wa DIPLOMA naomba anitupie hapa au marcomhagama335@gmail.com
0 Reactions
1 Replies
2K Views
jaman habari wanajamii wenzangu najua mko salaam mimi nilikuwa naomba munisaidie hizi diploma za udom tangu watoe tarehe26 mwez wa6 mpaka saivi hakuna deadline na pia je, kwanini wenyewe hawapo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Naomben Msaada kufafanua hii faculty ya bachelor of Science in agricultural and natural resources economics and business.
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Naomba kujua ubora na jinsi ambavo courses za NCC na ABE zinavokubalika au zinavo kuchukuliwa hasa kwa nchi yetu japo kwa mistari michache. Mfano wa courses hizo kama vile zinazotolewa Learnit...
0 Reactions
1 Replies
781 Views
Naombeni msaada je sisi diploma tuliomaliza 2016 mbona tumekua na vikwazo wakati wa kufanya aplication kwenye CAS na siku zinazidi kuisha
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Eti ni kweli kwa in service anayetaka kwenda kusoma chuo am hatapata mshahara mpaka amalize masomo yake? Naomba msaada kwa anaefahamu.
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Kwa yeyote anaekifaham Chuo cha uhamiaji moshi (Tanzania Regional Immigration Training Academy) (TRITA) au mwenye namba ama mawasiliano yeyoto anipe! Au anisaidie kunipatia joining instruction...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Amani iwe kwenu wadau. Napata shida juu ya hizi kauli naomba ufafanuzi kwa anaeelewa. 1. Master by thesis. 2. Master by course work and dissertation.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Degree in Custom and Tax management na B.Com in Accounting. BAF in ps vs BAF in bs. Msaada tafadhali wakuu
0 Reactions
7 Replies
4K Views
TheTasksPay.com - Earning website for Students and House wife
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom