PATIENCE PB
Senior Member
- Apr 3, 2014
- 163
- 37
Wanajukwaa wazima?
Mi mzima nauliza kama ulifaulu NABE |,NABE || na NABE |||.Pia una vyeti vyote vitatu.na O level ulisoma commerce na bookkeeping ukaifaulu vizuri ,pia A level ukawa umesoma ECA na kufaulu vizuri pia.Je kwa vigezo hivo ukienda kufanya CPA(T) unaanzia hatua (level) ipi?