Accounting and finance Bs Vs Accounting and finance Ps

Accounting and finance Bs Vs Accounting and finance Ps

Joined
Mar 11, 2016
Posts
53
Reaction score
45
msaada jamani niupi utafauti wa hizi kozi? naje ukisoma BAF-Ps lazima uajiriwe na Serikali tu au ata private unachukuliwa?


samahani kwa wewe utakaeona nimeuliza swali la kijinga
najua mwingine atasema unawaza kuajiriwa badala ya kujiajiri kaa kimya tu acha wanaojua wanisaidie

Mungu awabariki
 
Back
Top Bottom