incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,536
- 4,304
Wakuu kama yupo anaejua vigezo walivyotumia TCU kufanya sellection atuambie maana sellection hazina usawa kuna watu wameperform vzur na wameachwa ila kuna wengne wamechukuliwa kwa perfomance hiyo hiyo sawa na alieachwa pia kuna wengne wana had divission three wamepata post na wapo wa Divission One na Two wameachwa tatzo ni nini wakuu![emoji24] [emoji24] [emoji24]