[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Niliomba udsm,udom,duce,muce na jordan
Aseeeh iyo ekenford toa au kiweke cha mwisho kabisa apo anza na st.john,alafu kampala icho kiweke cha mwisho ni ushauri tuSo kuapply tena unaruhusiwa kuapply sasa hivi na je kuhusu vyuo utajuaje kama hiki chuo hakijajaa na tuaply tena?
Naombeni ushauri wa vyuo hivi nilivyo chagua second round kama nimekosea kuchagua inaeza ikanisababisha nikose naombeni mnisaidieView attachment 399925
Dodoma main campusSt john ya wapi mkuu dar au dodoma
Mwanangu nisikilize! Ufaulu wako ni mzuri. Sema tu first round ulijichomeka pabaya! Achana kabisa na KIU. Hata ukiiweka ya mwisho utaangukia huko. Chaguo la kwanza weka Mwecau ( Mwenge Catholic University). Ni chuo kizuri sana, kinatanguliza mbele taaluma na maadili. Na capacity yake kwa kozi ya ualimu bado ni kubwa! Hicho kilichokuwa cha kwanza kiweke cha pili badala ya kiu.Kwanini mkuu nieleweshe basi
Mwanangu nisikilize! Ufaulu wako ni mzuri. Sema tu first round ulijichomeka pabaya! Achana kabisa na KIU. Hata ukiiweka ya mwisho utaangukia huko. Chaguo la kwanza weka Mwecau ( Mwenge Catholic University). Ni chuo kizuri sana, kinatanguliza mbele taaluma na maadili. Na capacity yake kwa kozi ya ualimu bado ni kubwa! Hicho kilichokuwa cha kwanza kiweke cha pili badala ya kiu.