Waliochaguliwa Rao Health Training centre, tukutane Hapa

Navegante

Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
87
Reaction score
53
Kwa wale waliochaguliw kujiunga katka chuo cha RAO HEALTH TRAINING CENTRE tukutane hapa Kwa ajil ya kujuzana mambo mbalimbali kuhusiana na hicho chuo.. ...Asanten
 
Chuo kipo Shirati-rorya Mara,ni mji mdogo na umechangamka kwa sana kibiashara...nauli ni 5000 kutoka Tarime na 1000 kwenda mpakani mwa kenya(mihuru bay) ni pembezoni mwa ziwa victoria.

Wanaishi wajaluo kwa sana...Gharama za maisha ni za kawaida...chakula 1000--1500/sahani..

Chuo kina hospital inaitwa RAO, mkuu wa chuo anaitwa Dr PZ Makoyo(MD,PhD)
Jirani pia kuna hospitali ya wilaya inaitwa Shirati KMT Hosp. Na inatumiwa sana na wanachuo wa RAO pia kuna chuo cha uuguzi hapohapo..

Hostel zipo ila ni option kuishi hostel/kitaa

Shule iko vizuri pale ijapokuwa madakitari wengi wamerudi shule kufanya masters.

Ada jiandae maana sio pungufu ya M3 (hakuna huduma za chakula)

Hutajuta kuwa pale ila kuwa makini kuna maambukizi UKIMWI sana.

Karibu kwa maswali..
 
Kuna maambukiz ya UKIMWI duuuh.........

Kwahyo sasahv hakuna walim wenye uzoefu sana...
 
Back
Top Bottom