Bachelor of science in Bee Keeping Science and Technology

Bachelor of science in Bee Keeping Science and Technology

Joined
Sep 14, 2016
Posts
85
Reaction score
38
Wakuu ninaomba msaada kwa yeyote anayejua kama hi programme hapo juu ina soko la ajira
 
Tafuta degree nyingine inayokuwezesha kuajiriwa na mashirika binafsi pia, na hata nje ya nchi. Bachelor of science in bee keeping?!!!!!!!! Soma agriculture in uwanda mkubwa zaidi kuliko hiyo
 
Mkuu inatolewa university of Dar es salaam
Mkuu nakushauri nenda kasome tena bila kinyongo. Hiyo ukisoma utapata kazi aehemu nyingi hasa TANZANIA FOREST SERVICE AGENCY (TFSA) mana wana kitengo cha BEE KEEPING PROGRAM but pia unaweza piga kazi kwenye NGOs nyingi za mazingira pia kwenye taasisi kama TANZANIA FOREST RESEARCH INSTITUTE. kumbuka hizo ofisi za TFS ziko nchi nzima
 
digrii kama hiyo hata ukikosa kazi.. unajiajiri na ufugaji nyuki tu kwa kisasa....

hizo ndio degree za ukweli za kumkomboa mtu
hii ni degree ya HOVYO kabisa sijapata kuona yaaan unasoma degree ya kufuga NYUKI kulaleki
 
Mkuu nakushauri nenda kasome tena bila kinyongo. Hiyo ukisoma utapata kazi aehemu nyingi hasa TANZANIA FOREST SERVICE AGENCY (TFSA) mana wana kitengo cha BEE KEEPING PROGRAM but pia unaweza piga kazi kwenye NGOs nyingi za mazingira pia kwenye taasisi kama TANZANIA FOREST RESEARCH INSTITUTE. kumbuka hizo ofisi za TFS ziko nchi nzima
Asante mkuu kwa ushauri na nimekuelewa
 
hii ni degree ya HOVYO kabisa sijapata kuona yaaan unasoma degree ya kufuga NYUKI kulaleki
Tatizo umekalili neno 'hovyo hovyo' we unabugi kuna sehem nyingine hupaswi kulitumia hbu kuwa msomi bhasi
 
Duuhh jamii forum bwana vituko tupu.
Ama kweli sasa naanza kuamini kila binadamu amejaariwa upeo wake wa kufikiri.
MMh kweli kazi maana kuna wa kukitia moyo .
Vile vile wa kukukatisha tamaa basj shidah tupu humu
 
Back
Top Bottom