Sijamuelewa Simbachawene kuhusu ajira za walimu

Sijamuelewa Simbachawene kuhusu ajira za walimu

Simba chawene hajaongea chochote kuhusu ajira, nyie ambacho hamjakielewa ni kipi?
 
sassa angesema nn wakati mkuu alisitisha kwan hmkusikia jafo alivyoiambia kamati kuwa wanasubiri kibali cha raisi hamjaelewa nn sasa
 
sassa angesema nn wakati mkuu alisitisha kwan hmkusikia jafo alivyoiambia kamati kuwa wanasubiri kibali cha raisi hamjaelewa nn sasa
Waziri mkuu alidanganya? Make alisema zoezi limeisha, sasa serikali kuanza kuajiri
 
Naenda chuo cha uchungaji nikitoka nafungua kanisa
 
Kwani mpaka uajiriwe na serikal.mbona m nimemaliza mazingira cna interest na ajira zenu njoo mtaani tupige EIA na E audit
 
Eee[emoji34] ? Kirahsi hvyo stungekua wachungaji wote humu...!
Kumshawishi mtu atoe pesa yake ya kula akupatie wewe ni kipaji aisee. Sio kila mtu anaweza. Hapa nguvu ya kushawishi ipo xo naenda kupata content ya maandiko.
 
HILI SUALA LIPO MIKONONI MWA MAGUFULI YAANI AKIAMUA HATA LEO AJIRA ZINAWEZATOKA HAO WENGINE HAWAWEZI KUSEMA CHOCHOTE
 
Back
Top Bottom