Anajua peter
Member
- Sep 12, 2016
- 96
- 25
Habar za wakati huu wana J.F naomba kuuliza,kuna shida gani inaweza kujitokeza kutokana na kubadilisha machaguo ya vyuo (selection) Maana baadhi ya watu wanadai inaweza kupelekea kutochaguliwa na TCU round ya pili