Maandamano yametokea maeneo mbalimbali Huko mwanza nje ya ofisi za NACTE kudai majibu yao yaliyo cheleweshwa kutoka tangu walipo apply tarehe 31Agust
Chanzo:cloudsfm
Nasikia suala la kupata viza inasumbua,naomba anaejua jinsi ambavyo naweza kupata viza bila usumbufu ,anisaidia,au jinsi ya kupata wakala au wapiga debe (please kutumia hilo neno debe).kama...
Kwa wanafunzi wote waliochaguliwa na NACTE na TCU ili kujiunga na chuo cha kimataifa cha Kampala, napenda kuwakaribisha saana chuoni hapo..
Chuo kipo Gongo la mboto mwisho, mazingira ya chuo ni...
Kuna mdogo wangu anajaribu ku-apply kozi level ya degree kupitia NACTE, yeye ni diploma holder.
Tatizo anafika mahali imeandikwa CHUO ULICHOSONEA, tukiangalia kwenye list ya vyuo vilivyoorodheshwa...
Nitajie Jina la muandishi, jina la kitabu........ au ...unafikiri kime-kusaidiaje?
Una weza kikanivutia na mimi nika kitafuta kukisoma!!
hii ni seehemu ya kufaamiana...
Naomba kufahamu utaratibu ukoje ili mwanafunzi aweze kufanya registration kuingia mwaka wa pili.
Je ni lazima mwanafunzi alipe administrative costs ili akubaliwe kufanya registration kwa mwaka wa...
Naomba niongee toka moyoni wandugu. Jambo hili limeniuma kwa muda mrefu sana. Kwenye hizi shule za watoto wetu, hakuna ubishi kwamba waalimu wazuri ni wakenya au hata waganda, lakini wamewekewa...
Ushauri kati ya mechanical na telecommunication ipi kozi ambayo inalipa zaid ktk soko la ajira ,na je ipi ambayo upatikanaji wa ajira yke haisumbui ,ahsanten .
nimejiuliza kitu fulani:
1. TCU wameamua kuweka grade ya aina ya masomo wanayoyaita priority na mengine wanayosema sio priority. yale ambayo ni priority kwa kawaida wanatoa full load, yale ambayo...
Jamani wana JF. nauliza kwamba
Kama umechaguliwa mwaka huu kusoma diploma au certificate na hau kwenda chuoni
JE
una weza kuapply tens mwakani au jdo umeshapitwa na. Nafasi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.