We ulishaapply kabla au umeapply 2nd round?
Uliapply lin ni mwanzon au ni hii juz bada ya tcu kushusha jpa
sawa mkuu, lakini vp kuhusu negative capacity hili kweli linawezekana?Hiyo inamaana first round imerun na wameshachaguliwa watu so vuta subira waweza kuwa mmojawapo