Usilinganishe UD na chuo chochote

Usilinganishe UD na chuo chochote

Baba yenu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,053
Reaction score
1,419
Katika kukua kwetu wengi tuliamin UD ni bonge la chuo na kinatoa watu vichwa balaaa

Ila kama ndo kina Maprofesa kama yule anayehojiwa mara kwa mara na vituo vya luninga sijui anaitwa Bansen Burner sijui Banner basi kuna tatizo

Yule mzee akili yake nahisi hata mm namzidi akili halaf ndo anawawapa nondo hapo UD[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji22][emoji23][emoji22]

Achen kulinganisha vyuo na kama UD ya Burner
 
mama yangu one day nikiwa mdogo kama ten years aliniambia ' mwanangu wewe una akili za darasani tu' ila ukivuka tu mlango wa darasa kuingia kitaa na hata hapa home , wewe ni mbumbumbu mzungu wa reli! huna kitu kichwani! elimu za bongo kukariri ili tureproduce kwenye pepa zina limitations! ushanisoma!
Nahisi ndo kama yule mzee yaani kichwani mweupe na anaongeaga pumba tupu
 
wew sio,mzma asa hapo uyo profesa na chuo cha UD vnahusiana vp? unajua pale kuna maprofessor wangapi? au huyo prof ndo chuo chenyew na wanafunz mbna unakuwa sio great thinker? mada kama hizi peleka chitchat mkuu.nonsense
 
Imemgusa balaa....akiliangalia liporofesa lake kichwani ziro anaumia[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Imekugusa? UD Kuna maboya wengi tu... Msijione miungu
 
Katika kukua kwetu wengi tuliamin UD ni bonge la chuo na kinatoa watu vichwa balaaa

Ila kama ndo kina Maprofesa kama yule anayehojiwa mara kwa mara na vituo vya luninga sijui anaitwa Bansen Burner sijui Banner basi kuna tatizo

Yule mzee akili yake nahisi hata mm namzidi akili halaf ndo anawawapa nondo hapo UD[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji22][emoji23][emoji22]

Achen kulinganisha vyuo na kama UD ya Burner
Huyo Bana,Benson ni kchwa sema ameamua kutumikia tumbo,usishangae ndugu yangu.Njaa ni mbaya sana,si unamuona Prof.Lipumba amejigeuza pumba kabisa kwa sababu ya njaa.Alowaita Interahamwe leo ameamua kutera nao ili mkono uende kinywani.Hayo ndo matatizo yetu,na ndo maana hatuwezi kuendelea.cc prof.Juma kapuya,waziri wa sheria leo,Polepole,Warioba and company.Njaa njaaa ndugu yanguuuu
 
Imekugusa? UD Kuna maboya wengi tu... Msijione miungu
Amna mkuu,wat wa UDSM hawako ivo hata siku moja ukisikia home of intellectuals ndo pale.kwanin nasema ivo coz sis ni wastaarabu afu pia malecture wa pale hawafundish kukarir kama ilivyo kwa other universities pale wanafundisha kuelewa na ujasiri ndo mana hat mtu akisupp au kudisco huwaoni kulalamika sio kama wengne mtu anasupp moja tu utaskia oh mara chuo cha SUA kigumu kumbe nyie tu mnacomplicate....hawajioni wanaUD msiwaseme vibaya please.
 
Imemgusa balaa....akiliangalia liporofesa lake kichwani ziro anaumia[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
mkuu nina mashaka na elimu yako mtu ambae ni mwanafunzi au msomi huwa hajibu hoja kwa style hiyo kama tunachambana bhna....all in all ni mawazo yenu tu vichwani na nyie mnaosema vibaya ndio mnawapa kichwa na kuwafanya wanaUD wajikubali na wabaki kuwa intellectuals walio bora kwani wao ni wavumilivu na wana busara huwa hawakurupuki kufanya mambo na kujibu hoja kama watu wa aina ya kwako.UDSM inajengwa na wakufunzi wengi sanaaaa
 
Amna mkuu,wat wa UDSM hawako ivo hata siku moja ukisikia home of intellectuals ndo pale.kwanin nasema ivo coz sis ni wastaarabu afu pia malecture wa pale hawafundish kukarir kama ilivyo kwa other universities pale wanafundisha kuelewa na ujasiri ndo mana hat mtu akisupp au kudisco huwaoni kulalamika sio kama wengne mtu anasupp moja tu utaskia oh mara chuo cha SUA kigumu kumbe nyie tu mnacomplicate....hawajioni wanaUD msiwaseme vibaya please.
We umetembelea vyuo vyote ukaona wanavyofundishwa? Acheni kujishaua Wakuu hasa hapa JF. Dunia ya sasa ni bidii yako katika kujifunza sio majina ya vyuo tena. Huo ni ushamba.
 
We umetembelea vyuo vyote ukaona wanavyofundishwa? Acheni kujishaua Wakuu hasa hapa JF. Dunia ya sasa ni bidii yako katika kujifunza sio majina ya vyuo tena. Huo ni ushamba.
hizo mambo watu wa UD hawana mkuu,kama unajua hivyo sasa kwanin mnashindwa kuwa wastaarabu badala yake mnawaponda ati UD wengi maboya,bila kuwa na ushahidi au nawe kuwa na uhakika na uyo profesa ambae jamaa anamsema badala yake mnarusha vijembe kwanin usitoe hoja? mkishindwa kama hivi ndo mnaconclude kuwa oh kubishana vyuo n ushamba wakat nyie ndo mnaleta ushindani wa maneno na mada kama hizo kuhusu vyuo.kwanin msiwe mnatoa points kama hizi....si unaona ulivoniqoute na kunijibu kweny comment yangu hapo juu? msomi hautakiwi kuwa hivo bhana.
 
We umetembelea vyuo vyote ukaona wanavyofundishwa? Acheni kujishaua Wakuu hasa hapa JF. Dunia ya sasa ni bidii yako katika kujifunza sio majina ya vyuo tena. Huo ni ushamba.
huoni wewe ndio mshamba badala ya kuwa mstaarabu na kujibu kwa mantiki ati unaropoka kuwa UD wengi maboya tu,je wew kwa kusema hivo sio ushamba na ukosefu wa elimu iliyo bora? kwanin UD wasiwe bora kama majibu yenu ndo hayo mkuu.
 
Aseeh!! Ubora wa mtu co Jina la Chuo Kuna watu wapo vyuo visivyo na majina wapo nondo balaah!!! ila wengine Hapo hapo ni vilaza Dr Benson Bana Mwalimu wa Political science yule yupo kwa maslahi ya walio juu yake ila Jamaa yupo njema kichwani kila Chuo ni bora ila waliopo ndio Vila.za na vipanga!!! All in all UDSM kama umeshasoma pale ubora wake utaujua tu hasa katika suala la academic Jamaa hawana mchezo kabisa!!! Km ukubali ckulazimishi una hakika ya kusema Hukatazwi!!!!!
 
Back
Top Bottom