mournyrutta
Member
- Sep 15, 2016
- 51
- 11
Kwa mfano mtu kapata supplimentary semester ya pili ya mwaka wa kwanza wa diploma na hakuweza kuifanya kwa muda uliopangwa kutokana na matatizo ya kiafya na kupangiwa muda wa kufanya sup kwa mwezi wa kumi mwaka huu na anasifa nikimaanisha ana GPA yakujiunga na elimu ya juu coz NTA level 6 kapata hiyo GPA wanayoitaka inaweza ikamfanya kutokuaapply mpaka afanye zile sup au anaweza kuaapply na akajakufanya hizo supp mwezi wakumi?je anaweza asichaguliwe hata ajuaapply kutokana na hayo matokeo amabayo yako incomplete ya semester ya pili ya diploma ya kwanza?msaada tafadhali na ushauri.