Wale tunao apply kwa GPA za kuanzia 3.0 za msaada wa TCU tupite hapa.

nkwaru

Senior Member
Jan 16, 2013
126
42
WAKUU HABARI.
Hapa tunataka kupeana ma info. ya mwenendo mzima wa kuomba vyuo na course zenyewe make mda nao ndo huo unayoyoma maana wengine tulikua tumepotezea elimu ya juu. ahsante!
 
Back
Top Bottom