NIT wagoma, wadai boom na kulalamikia ubovu wa ratiba

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,501
28,703
Nit kimenuka .....wanafunzi wanaandamana kudai hela zao za quarter 3 na 4, pia ubovu wa ratiba ya mwaka wa masomo ya chuoni.

NIT ni jipu .....waziri wa Elimu naomba utembelee hapa chuoni.
 
Hicho Chuo majipu kibwenaaa,na Hugo mkuu wa chuo kashindwa kazi,muda mrefu alibadili ratiba za Chuo mpaka vijana wanakosa direction, mambieni hicho ni Chuo si zizi LA ng'ombe anawasababishia watu kuingia kwenye risk bila sababu,awafatilizie hela zao hao watu wapate,ni aibu kubwa sana vijana wanajikuta wanagoma kiss hela ya kujikimu kwa nn lakini
 
Hakuna maandamano hapo kijana labda kama yamefanyika kule kwenye mabwawa ya maji machafu
 
haaa naona nyie vijana mmeshaona kamchezo et., hizo kodi tunazotoa mnazani tunakunya au. hela ngumu bhana kausheni tu na kama mnaona kutokwenda club na kutokuhonga madem zenu mwaka huu ni ngumu bs njooni kitaa mpge kago tu.
 
Back
Top Bottom