Msaada wa haraka CAS

Msaada wa haraka CAS

Jamaa yangu alijisajili kusoma Dilpoma nyingine mara baada ya GPA 3.5 kuwa kikwazo. Mara baada ya kuruhusiwa kuomba kwa GPA ya 3.0; kila akijaribu kujisajili anaambiwa alishasajiliwa. Lakini usajili wake ni wa Diploma na siyo Degree. Kipi anaweza kufanya ili aweze kuomba kujiunga na Degree?
anachoweza kufanya na chenye uhakika ni kwenda nacte kuelezea shida yake ili aweze kusaidiwa kwa haraka zaidi
 
Je ameanza upya kujisajiri au inakuwaje mana najua nacte wote kabla ya tcu kupanga viwango vipya wote wa diploma walikua wameapply wakaishia kwenye selection za chuo ndio vyuo havikuwepo hivyo kama karud kuapply now mwambie aingie kwenye profile yake ya zamani amalizie kujaza vyuoo tu
 
Jamaa yangu alijisajili kusoma Dilpoma nyingine mara baada ya GPA 3.5 kuwa kikwazo. Mara baada ya kuruhusiwa kuomba kwa GPA ya 3.0; kila akijaribu kujisajili anaambiwa alishasajiliwa. Lakini usajili wake ni wa Diploma na siyo Degree. Kipi anaweza kufanya ili aweze kuomba kujiunga na Degree?
jamaa yako nani
 
Back
Top Bottom