Ilikuwa 22-06-2016 ilitoka kauli hii, ''NASITISHA AJIRA KWA MWEZI MMOJA AU MMOJA NA NUSU, HAITAZIDI MIEZI MIWILI'' sasa miezi mitatu itatimia kesho kutwa.
Msema kweli mpenzi wa Mungu...
Nashindwa kuwaelewa tcu jamani. Nimeingia sasa hivi kwenye profile yangu, cha kushangaza nimekuta faculty nilizotemwa bado zinahitaji watu. Sasa kwa nn nilitemwa
Habarini wakuu!!!
Hv India wana System km ya TCU - CAS ktk udahili/kuomba vyuo vikuu kwa pamoja???
...namaanisha wanaomba kwa kutumia CENTRAL ADMISSION SYSTEM ktm huku Tz?
je ni ipi Website yao...
Samahani wakuu kwa anayekijua vizuri chuo cha NIT mazingira ya chuo yapo vipi kwa kusoma, na changamoto atakazo kumbana nazo huyu dogo ni kama zipi?
Maana ameapply hapo anataka kusoma transport...
Wakuu habari zenu, jaman Mimi nimemaliza kidato cha 4(form4) mwaka jana2015 hivyo nikaamua Ku apply UDOM kozi ya (Medical laboratory Technology) in Diploma;mwezi wa 8 tare 10 mwaka huu (2016)na...
Jamani habari za usiku raia wana jamiiforum nilkua nauliza je TCU application unaruhusiwa kujaza nafasi nne tu yani I mean uchague mara 4 na sio mara 5 au ni lazima ujaze zote mara5
Habari wana jf
Nalazimika kuandika haya ili kuwekana sawa na hawa ndugu zetu waliopewa mamlaka ya kuendesha udahili wa pamoja yaani NACTE.
Ukitazama hiyo screenshot hapo juu, kuna program namba...
*MPYA*
*UDOM INATANGAZA NAFASI KWA WANAFUNZI WENYE SIFA KATIKA KOZI ZA DIPLOMA NA CHETI 2016/2017*
*HII INAWAHUSU PIA WALE FORM SIX ZAIDI YA 18000 WALIOOMBA TCU WAKATI HAWANA SIFA 4PTS ,ZA...
Waziri mkuu wa jamhuru ya muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa (16/09/2016 11:40Am. "mheshimiwa spika kuhusu upungufu wa walimu serikali imeona iwapange walimu mashuleni moja kwa moja, nguvu...
Katika hali isiyo na usawa ni kile wanachotendewa wanafunzi wanao omba kujiunga Undergraduate katika mwaka wa masomo 2016/17 wakiwa na Diploma kama sifa za kuingilia (Equivalent). Huu uonevu...
Kuna tofaut gani kati ya degree hizo mbili za NIT pamoja na priority za ajira zao wanapograduate kwa Tanzania na nje ya Tanzania nani anakuwa bora kuliko mwenzake mwenye uelewa wa hizo mbili...
This is to inform the Public that the deadline for online application for Diploma and Certificate Programmes for Academic Year 2016/2017 has been extended to 24th September to allow those failed...
Kwa yeyote mwenye kuhtaji hostel aliyechaguliwa chuo kikuu cha tumaini makumira karibuni sana
Bei ni ya kawaida tutakupokea na kukupa hifadhi ya mwezi mmoja bure ndio uanze kulipa kodi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.