Msaada wa vyuo vinavyotoa kozi ya Logistics and Transport management

Wamalinyi

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2016
Posts
237
Reaction score
146
Wanajamvi naombeni mnisaidie vyuo vinavyotoa hiyo kozi kuanzia ngazi ya cheti,hapa Tanzania.Asante
 
ni only one in tz ni NIT pekee
unafursa sasa ya kuingia nacte nakuiomba
siku zimeisha na kesho ndo mwisho wa udahili
 
Hivi master ya logistics ni lazima upitie TCU?
 
siyo tz tu yaan Africa mashariki na kati its only Nit. mwenyew nmeomba bachelor degree in transport and logistics management.
 
DMI pia wanatoa mke wangu anasoma hapo na wamekuwa wakitoa muda mwingi kabla ya NIT ila hawana NACTE accreditation ni International certification kutoka England

siyo tz tu yaan Africa mashariki na kati its only Nit. mwenyew nmeomba bachelor degree in transport and logistics management.
 
hebu nishaurini au nipenushawish kuhusu hii kozi maana nimeijaza.

Kama Unataka kuwa Transport officer katika taasis mbalimbalii basi hiyo koz inakuhusu
Wataalamu wake wanahitajika sana hasa kwa hiz nchi zetu zinazoendelea
Utajua jinsi biashara zihusuzo Meli kupitia Bandarii, Mabasi makubwa, Reli na Ndege kup
itia airports
Utaweza kujiajir pia ikiwa utakuwa na mtaji kwa kuanzisha kampun ya utoaji wa mizigo bandalin
Watu wenye utaalamu huo pia wanahitajika sana kwenye kampuni zinazosafirisha bidhaa zao sehem mbali mbali mf. kampun bia TBL. Kampuni ya sigara, kampuni za vinywaji mbalimbali n.k.
Vile vile hata kwenye Halmashaul zetu, wizara zetu, B.O.T nako Transport officers wanahitajika.
 
hata kama but NIT is the best kwa hiyo kozi manake wanatambulika siyo hivyo vyuo vyenu uchwara mnazopewa GPA kama pipi
 
ahsante sana kwa kunijuza vp ina mahesabu mengi???
 
Anhaaaa nimekuthommaa unaogopa hethaaaabuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] me mwenyew nimeijaza NIT ila cna mcngi wa maths ila nimejicommit kuisoma nikichaguliwa i can do it i will do my best to perform
 
Back
Top Bottom