unajua kuna tofauti kati ya engineer na engineering?Ushauri kati ya mechanical na telecommunication ipi kozi ambayo inalipa zaid ktk soko la ajira ,na je ipi ambayo upatikanaji wa ajira yke haisumbui ,ahsanten .
hahah title kafananisha watu alafu content kafananisha coursesunajua kuna tofauti kati ya engineer na engineering?
kila sehemu za ujenzi na vieandani mechanical anafit...ila mtu wa TELE anangojea ajira kutoka kwa voda... airtel na makampuni mengine ya mawasiliano!! mind you japo kazi zao si wide kama mtu wa mech ila mtu wa tele akipata mchongo wanapiga parefu sana...the same kwa watu wa comp engineering...Najua mkuu,.....nakusudia engineering, if unajua wakilisha....
Ahsante mkuu ,nimekusomakila sehemu za ujenzi na vieandani mechanical anafit...ila mtu wa TELE anangojea ajira kutoka kwa voda... airtel na makampuni mengine ya mawasiliano!! mind you japo kazi zao si wide kama mtu wa mech ila mtu wa tele akipata mchongo wanapiga parefu sana...the same kwa watu wa comp engineering...
all in all usisome kwa kuchek soko la ajira tu.... cheki nini unapenda!! kwa msaada tu je unapenda mitambo... physical works... unapenda kuchafuka ukiwa kazin je wewe ni sharo??? au unapenda computer na technolojia??? ukijibu hayo maswali utajua wewe ni wa tele au wa mech engineering
Yeah utasoma miaka minne ila hio bachelor kwa vile umehama course ambayo ni nje ya department ya umemeWadau ivi mtu mwenye diploma ya telecommunication anaweza kuomba degree ya mechanical engineering
Hy asanteYeah utasoma miaka minne ila hio bachelor kwa vile umehama course ambayo ni nje ya department ya umeme
haweziWadau ivi mtu mwenye diploma ya telecommunication anaweza kuomba degree ya mechanical engineering
inategemea na vyuo siyo vyuo vyote wanaruhusu kuhama course ila kwa dit ni sawaYeah utasoma miaka minne ila hio bachelor kwa vile umehama course ambayo ni nje ya department ya umeme
Unajisikiaje kwenda nje ya mada..??unajua kuna tofauti kati ya engineer na engineering?
Ushaur mzur kabsa huu,af mechanical rahis sana hadi darasa la saba wanafanyakila sehemu za ujenzi na vieandani mechanical anafit...ila mtu wa TELE anangojea ajira kutoka kwa voda... airtel na makampuni mengine ya mawasiliano!! mind you japo kazi zao si wide kama mtu wa mech ila mtu wa tele akipata mchongo wanapiga parefu sana...the same kwa watu wa comp engineering...
all in all usisome kwa kuchek soko la ajira tu.... cheki nini unapenda!! kwa msaada tu je unapenda mitambo... physical works... unapenda kuchafuka ukiwa kazin je wewe ni sharo??? au unapenda computer na technolojia??? ukijibu hayo maswali utajua wewe ni wa tele au wa mech engineering