Maandamano kudai matokeo ya NACTE kwa diploma waliomba kusoma degree

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Sep 5, 2014
2,232
2,884
Maandamano yametokea maeneo mbalimbali Huko mwanza nje ya ofisi za NACTE kudai majibu yao yaliyo cheleweshwa kutoka tangu walipo apply tarehe 31Agust

Chanzo:cloudsfm
 
Maandamano yametokea maeneo mbalimbali Huko mwanza nje ya ofisi za NACTE kudai majibu yao yaliyo cheleweshwa kutoka tangu walipo apply tarehe 31Agust

Chanzo:cloudsfm
Baada ya maandamano wamejibiwa nini kama suluhisho?!?
 
Had sasa hatujui chochote na Kuna vyuo vimeshatoa majina ya form six sis tumekaa tu, sasa Tena form six walipewa karibu miez miwili ya appl cye tulipewa wiki mbili Hao form six profile zao washapewa selection mbaya Zaid tcu ikasema imemaliza kudaili wanafunz first selection wa form six kias fulani wakat wa diploma hatujui kinachoendelea, had sasa kimya hakuna tangazo lolote nacte linalozungumzia cye wa diploma afu wameshusha gpa tumefurah watu wafanye appl sasa Hao wa first selection hawajui kama wamechaguliwa au la, je ikitokea mtu kakosa first selection je nacte itatoa nafas nyingine na ni Lin wakat Muda umeisha, je watajaza Tena form Za mkopo? Serikali yetu iangalie na Hilo kwa undani
 
Inashangaza na inaleta hasira yani ko sisi was diploma hatuna vigezo au ndo tutakuwa Wa mwisho, eti serikali ya hapa Kazi tu kwel!!!!. Na waziri yupo, mmh yetu macho
 
Sis wanawaza tulifeli wakat tuna maxs nzur tu na GPA nzur , wangekua wanasoma hiz koment labda wangebadilika mana tunakua kama c wadiploma tunaserikali yetu na form six wanaserikali Yao inauma sanaa
 
Sis wanawaza tulifeli wakat tuna maxs nzur tu na GPA nzur , wangekua wanasoma hiz koment labda wangebadilika mana tunakua kama c wadiploma tunaserikali yetu na form six wanaserikali Yao inauma sanaa
VileVile wengine tumetokea o level tukachagua technical college xo wasituzingue kama walijua ndo hivyo wangetupeleka A level
 
Cha kushangaza ukiingia kwa profile utakuta update qualifications ukiupdate inaleta weiting for evaluation then ikipita cku mchezo ni uleule tukadhani chuo hawajatuma matokeo yetu nacte ila wanadai yametumwa muda mrefu sana, ni inakatisha tamaa kweli jaman utadhani niwatu wa taifa jingine bhanaaa.
 
Bora wameandamana mana tunaburuzwa wakat Ela tulitoa kama Hao form six hatutendew haki
Sasa ukiandamana suluisho c lazima lipatikane je nn wamejibiwa walioandamana maana tunacho kiwaza mpaka sasa, system yao kama holder wa diploma na form six ni taifa tofauti!!!??? sikudhani kama haya hufanyika hapa nchini hata celewi ukienda kwa profile saiv unakuta update qulifications sijui haya mambo yataisha lini.
 
Hapa kuna tatizo kubwa la uelewa wenzangu wa diploma. Mie naona ushaniki tu ndio unaendelea hapo na cte wanahusikaje kutoa majibu ya waliochaguliwa wakati toka serikali ilipotangaza mabadiliko wote wanaoomba degree matangazo yote yanatolewa na tcu! Hebu jiulize lini nacte walisema chochote kuhusu diploma holders? Tusipotishane wagufuatiliwa hapa ni TCU KWENYE HILI LA KUTOA MAJIBU. Nijuavyo moe nacte wana coordinate tu diploma na certificate na wameshatoa majibu ya hao kwa awamu mbili. Nawakilisha
 
wanazingua sana isee saiv wanasema wait for next selection sasa sjui kama kuna ambao wameshapata selection za first round, hyo siyo hakiiiiii
 
Back
Top Bottom