Kwenda kusoma U.S.A

Kwenda kusoma U.S.A

lion iron

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2016
Posts
318
Reaction score
233
Nasikia suala la kupata viza inasumbua,naomba anaejua jinsi ambavyo naweza kupata viza bila usumbufu ,anisaidia,au jinsi ya kupata wakala au wapiga debe (please kutumia hilo neno debe).kama atanisaidia nitalipa fadhila .Naomba anijibu humu humu au ani pm
 
Hongera kwa kupata nafasi kwenda USA, usiogope Hakuna usumbufu wala visa kuchelewa kama una documents zote zinazohitajika. Fika pale embassy upate requirements.
 
Thanks mkuu
 
Nasikia suala la kupata viza inasumbua,naomba anaejua jinsi ambavyo naweza kupata viza bila usumbufu ,anisaidia,au jinsi ya kupata wakala au wapiga debe (please kutumia hilo neno debe).kama atanisaidia nitalipa fadhila .Naomba anijibu humu humu au ani pm
Una mawasiliano na chuo unakoenda kwa masomo? Wamekuletea maagizo ya kujiunga nao na umeyatimiza na nini cha kwenda kupata ubalozini? Kama ni ndio, ubalozi hauna pingamizi lolote
 
kama utahitaji wakala,kuna ofisi moja naifahamu ina deal na hizo mambo kwa miaka kadhaa hapo Haidery plaza -Dar nitakuunganisha ukihitaji
 
Naomba uniunganishe mkuu,maana huku kazini natoka nimechelewa,kwa hiyo kama wapo ambao watanishugulikia nitashukuru sana mkuu
 
Una mawasiliano na chuo unakoenda kwa masomo? Wamekuletea maagizo ya kujiunga nao na umeyatimiza na nini cha kwenda kupata ubalozini? Kama ni ndio, ubalozi hauna pingamizi lolote

Kule kuna kakazangu na dadazangu wao wameniambia nitafute pasi ya kusafiria,ila lengo kuu ni kwenda kusoma
 
Natumaini ndugu zako wanajua nini wanachofanya, kwa sababu ubalozini ukifika na ukitoa sababu kuwa Unakwenda kusoma wakati huna I-20 kutoka chuoni inayokuwezesha kupata visa ya mwanafunzi ujue utajikwamisha. Wasiliana nao ujue nini kinaendelea.
 
Back
Top Bottom