Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

inawezekana kurisiti mwaka huu coz nackia hawatak vyet vya kuunga unga
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Vp hali zenu wana jukwaa . Nimemaliza diploma katika fani ya manunuzi , ila kwa upande wa degree nimeona niombe uhasibu . Kwani naona ni vyema kua na vyeti viwili vya fani tofauti ,kwani hapo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
joining instruction
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Ipi tofauti haya maneno university college, university, college Institute
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Ndugu zangu Kuna ndugu yangu kapata 2 aliomba First priority health system n management Mzumbe. Second akaomba UDOM Law. Third akaomba mzumbe Law Fourth akaomba UDSM Law Na tano akaomba UDSM...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Calculate the mass of Nacl that will react with excess silver nitrate to produce 400g of silver chloride
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi joining instructions za vyuo vya afya ni lini zaweza kuwa tayari. Na hivyo vyuo vitafunhuliwa lini?
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Watumishi Wa Umma Watakiwa Kujiandaa Kwenda Kufanya Kazi Kokote Nchini Watumishi Wa Umma Watakiwa Kujiandaa Kwenda Kufanya Kazi Kokote Nchini - MUUNGWANA BLOG
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamn napend kuuliz kwamb mbon joining instruction n moja tu vyuo vyote alaf inaonekan ipo incomplete maan hawajaelekez mahal chuo kipo na pia account y benki n moja au pengine hii maswayetu blog n...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu mbona najaribu kufungua profile yangu inagoma?msaada
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naombeni kujua mwanafunzi anayesoma combination ya HGE anaweza kuja kufanya kazi gani baadaye????
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mambo zenu?, kuna mtu anayejua lini majibu ya mkopo wa chuo? maana naona vyuo vinakaribia kufunguliwa ila kuna watu hawajajua kama wanapata ama lah
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa anaejua transfer za NACTE wanatoa baada ya kwenda chuo au inakujue wakuu tujuzane??????
2 Reactions
2 Replies
812 Views
Inanishangaza hii kila aliekosa nafasi kwa first round ni mwenye div2 sijasikia mwenye one au three ya mwanzo yaani DDE wanalalamika au wanaomba msaada wa second round AU TCU WAMEWABANIA KWA...
3 Reactions
95 Replies
11K Views
Je ni kweli kwamba loan board wakisha funga mahesabu yao ya mwaka mwanafunzi unae dai pesa ya kujikimu hutalipwa fedha zilizo salia katika mkopo wako kwa mwaka huo?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwangu mimi naona hii sio comb ya kukimbilia kwa sasa kwani kila mwenye uwezo wa juu ana ndoto za udaktar, sasa angalia vyuo vyetu vya udaktari na ada zake ni hatari, huyu PCB anapata div 2...
3 Reactions
23 Replies
6K Views
Kwa wale Mliochaguliwa NIT first Year 2015 tuktane hapa Tupeane UPDATES maana nashanga WEBSITE YA CHUO ipo Down More than 3 weeks . Hawa jamaa wapo serious Kweli?
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Najaribu kuapply chuo kupitia nacte but nikiingiza Reg. number ya diploma inaniandikia data base not found....plse naomba wenye kujua tatizo wanisaidie
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni tuition ipi nzuri kwa masomo ya Chemstry na Biology iliopo Mkoani Morogoro. Msaada juu ya hilo.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
23Septmber ndio hii nasubiri muda uishe tujue hatma yetu!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom