Unaweza kurisiti mwaka huu?

Hata kwenye nchi zilizoendelea watu wana reast mitihan,kwenye nchi yetu maskin ndio wafute!!!!!
Itakuwa maajabu
 
Habari zenu ndugu...naomben kufaham vigezo vya mtu kurisit form four..nilimaliza kidato cha nne mwaka 2011...nikabahatika kusomea mifugo..nimemaliza diploma now na nina G.P.A ya 4.6.. Tatizo form four phy sikufaulu na chem..linanipa ugumu ku apply degree... USHAURI WENU PLEASE..
kaka angalia umri usije ukafa maji baadae matamko mengi we kasome mana life halina formula .........., imagination is better than knowledge
 
Habari zenu ndugu...naomben kufaham vigezo vya mtu kurisit form four..nilimaliza kidato cha nne mwaka 2011...nikabahatika kusomea mifugo..nimemaliza diploma now na nina G.P.A ya 4.6.. Tatizo form four phy sikufaulu na chem..linanipa ugumu ku apply degree... USHAURI WENU PLEASE..
Chukua degree ya kitu kingne hata utumishi
 
Back
Top Bottom