Msaada kuhusu loan board

Msaada kuhusu loan board

kancarl

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
1,353
Reaction score
791
Je ni kweli kwamba loan board wakisha funga mahesabu yao ya mwaka mwanafunzi unae dai pesa ya kujikimu hutalipwa fedha zilizo salia katika mkopo wako kwa mwaka huo?
 
ni wababe tu,mbona kuna kuomba mkopo kwa mara ya pili kwa waliokosa(appeal)?
 
Je ni kweli kwamba loan board wakisha funga mahesabu yao ya mwaka mwanafunzi unae dai pesa ya kujikimu hutalipwa fedha zilizo salia katika mkopo wako kwa mwaka huo?
Sio kweli... japo kama unawadai utasota sana. Lakini kama ni mfuatiliaji na mvumilivu utaipata.
 
Back
Top Bottom