Hivi wenye Div2 ndio waliotemwa na TCU?

Hivi wenye Div2 ndio waliotemwa na TCU?

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
2,228
Reaction score
2,902
Inanishangaza hii kila aliekosa nafasi kwa first round ni mwenye div2 sijasikia mwenye one au three ya mwanzo yaani DDE wanalalamika au wanaomba msaada wa second round

AU TCU WAMEWABANIA KWA MAKUSUDI ZAIDI WENYE DIV2?
 
Mi navyojua inategemea na competiton... inawezekana wa 1 kachukuliwa kutokana na ufaulu wake ni mzuri ila wa 3 labda kutokana alijiona ufaulu wake sio mzuri akaona achague koz na vyuo ambavyo havina ushindani ndo akapata.. mwenye two kwa vile kaona kafaulu vizuri akaingia kwenye ushindani na ndo yakatokea hayo... inategemea mtu na machaguz yake
 
Mkuu hizi selection naweza kuzionaje? Embu nielekezeni nataka nimwone mdogo wangu kama kapata
 
Nikupe tano! Jibu sahihi sana! Wenye div 2 walijiamini wakajitumbukiza kwenye vyuo na kozi zenye ushindani mkubwa hivyo wakapambana na wenye 1 za ukweli hivyo kujikuta wametupwa nje na selection system.! Hata wenye one ya 9 wengine wametupwa nje na tumewasikia humu wakilalamika. Tatizo ni watu kupima suti ndefu kuliko urefu wao!
 
Inanishangaza hii kila aliekosa nafasi kwa first round ni mwenye div2 sijasikia mwenye one au three ya mwanzo yaani DDE wanalalamika au wanaomba msaada wa second round

AU TCU WAMEWABANIA KWA MAKUSUDI ZAIDI WENYE DIV2?
Mlijaza utumbo ndomaana mnakosa kila mtu a nataka UD mzumbe ardhi udom yan kupigwa Chini LAZIMA

Semeni tuwape ushauri msikose tena msikurupuke mlivyopata 2 zenu mkajiona mmepiga sana kwa hadhi ya UD hadhi yenu saiv ni mihayo University College
 
Ongea kwa heshima na adabu! Vinginevyo unawaaibisha waliokulea!
 
Inanishangaza hii kila aliekosa nafasi kwa first round ni mwenye div2 sijasikia mwenye one au three ya mwanzo yaani DDE wanalalamika au wanaomba msaada wa second round

AU TCU WAMEWABANIA KWA MAKUSUDI ZAIDI WENYE DIV2?
Mkuu hizo selection unaziangalia vipi?
 
Mkuu hizi selection naweza kuzionaje? Embu nielekezeni nataka nimwone mdogo wangu kama kapata
Huwezi kumwona mpaka akupe username na password yake ili uingie kwenye profile yake kupitia cas. Ila nahisi yeye mwenyewe saa hii atakuwa keshafahamu kama hata kwa kutumia smartphone yake au ya rafiki zake au internet cafe! Wasiliana naye!
 
Mwakani ni zamu ya div 3 kutemwa first round! Wenye division 2 watasita kuingia kwenye baadhi ya kozi wakihofia kutemwa hivyo watajaza zenye ushindani Mdogo ambako pia watajazana wenye div 3! Matokeo take div 3 watatemwa wengi kwenye first round! Ila kwa mwenye div 2 au hata 3 atakayekomaa na kozi zenye ushindani atapata maana wengi watakuwa wamezikwepa! Hiyo ni mwakani! I may be wrong but I just try to foresee!!!
 
Back
Top Bottom