Kuna mtoto wa kijijini kwetu huku Serengeti ambaye alipungukiwa sifa ya kujiunga na elimu ya chuo kikuu mwaka juzi lakini katika uchaguzi wa pili alifanikiwa kuchaguliwa kusoma kozi ya digrii ya...
Nahitaji mwl Wa kubadlishana kituo cha kaz idara ualimu secondary aje kagera kyerwa Mimi nije mikoa ya kusini hasa njombe ,iringa,morogoro,mbeya na wilaya zake au ruvuma .namba0762579731
je chuo kipi kizur katika mkoa wa tanga kati ya tiofilo na eckernford tanga university??tafadhali naomba majib nimekwama nataka sifa za hivi chuo ili niweze kujazia udahili wangu!!shukrani
Hi JF members and none.
I am specializing in software for a many years.Form Management,Accounting and payroll.
I am looking any online or offline class where I can teach the application of...
Wakuu, kwanza niwasalimu.
Mimi ni PCB na nimebahatika kuchaguliwa katika FIRST ROUND ya TCU nipo hapa nikisubiri confirmation kutoka vyuo tajwa hapo chini.
Wakuu nakaribisha maoni;
Anayeweza...
Bodi kutotoa mikopo kwa wadahili wapya baada ya TCU kushusha viwango | MPEKUZI
Mbona msalaba huu ni mkubwa sana kwa wale wenye 3.0-3.4 waliyoacha kuomba mkopo kutokana na vigezo vya awali yaani...
Wasalaam wanajukwaa.
Katika orodha ya vyuo bora Africa iliyotolewa mwaka huu 2016 na mtandao wa Times Higher Education (THE), Tanzania haina chuo hata kimoja katika orodha hiyo tofauti na miaka...
Baada ya serikali kutangaza alama za kuingia chuo kikuu mwaka huu 2016/17 kwa wenye Diploma kuwa ni 3.5 GPA.Siku chache wik iliyopita wametangaza kuchucha GPA toka 3.5 hadi 3.0 huku dirizha la...
Hii ni kutokana na bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESBL) walishafunga mchakato wake wa uombaji mikopo hivyo, hawataongeza muda kwa ajili ya wanafunzi wapya waliochaguliwa na TCU...
Nina mdogo wangu kachaguliwa Mwl Nyerere memorial campus ya zanzibar but yeye anahitaj kuhama asome campus ya Dar es salaam...ni hatua zipi za kufata kufanikisha hili?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.