Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Ndungu wana jf naombeni mnisaidie kuserch hii index no S1065/0049/2015 'coz nashindwa kuelewa
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu salaam.Nina upper second class GPA YA 3.5 with honors kutoka UDSM LLB JE NIKIOMBA KUWA LECTURER WA VYUO VINGINE WATANIKUBALIA AU WATAKATAA?? Kwa mwenye kujua naomba msaada.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau, nimejikuta nimechelewa kuapply kiasi kwamba sasa hivi ndio nahangaikia kupata Chuo cha afya cha serikali hapa mkoani. Nina ufaulu mzuri tu Chem A Bio A physics C tatizo langu ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nilifanya application ya degree na nikachaguliwa lakini cha ajabu course niliyomba iomba udom na waliyonipangia apo udom ni tofauti kabisa na hyo course sikuhijaza hata katika hvo vyuo vingne...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jitokezeni Tamisemi nilini?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tanzania viongozi wetu hasa katika sekta ya elimu wana matatizo ya kifikra.Elimu ni haki ya kila mtanzania na si kwamba ni kitu cha watu wachache wenye akili saaaana au kwamba ni vita. Hiyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale wrote mliochaguliwa st Jose medicine ,uliza chochote APA mudaa wowote ,maswala ya nyumba na hostel na mazngira kwa ujumla
0 Reactions
8 Replies
1K Views
habari za wakati wana jf selection nacte ziliisha toka kwa wale tuliomba ualimu vyuo vya selikari naomba kujua je profile zenu zimeandikwa diploma in primary education (prr sevirce) ni techinician...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
IJUE TOFAUTI KATI YA BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA YUU (HESLB) NA TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU) Waungwana nawasalimu Kumekua na mkanganyiko mkubwa kwa baadhi ya watu /wanafunzi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuteleza sio kuanguka TCU mengi mnayoamua ni ya hovyo sana hapa HAKI itakuwa haijakamilika kama hamtarekebisha na cutoff points kwa form six graduates. Kumbukeni maamuzi mliyatoa kwa wote Diploma...
4 Reactions
37 Replies
5K Views
Mi nimefanya mtihani wa form 6 kama private candidate mwaka huu HGK nikapata 2.10. Ila nilipoomba chuo TCU wakanitema, je inawezekana ni kwa sababu nilifanya mtihani km PC na ni wengi au tatizo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
kwa first year wote waliochaguliwa udom-college of informatics and virtual education (CIVE) 2016/2017 tukutane hapa uliza swali lolote utajibiwa! karibuni sana na hongereni sana kwa kuchaguliwa...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Hii kozi imekaaje
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarin wana jf, naomba mwenye kujua bei ya kitabu cha Anatomy (rose&wilson) physiology ,Madukan
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mbona majina ya selected students IFM yamesepa tena...tatizo ni nini?? #Msaada please..!
0 Reactions
3 Replies
868 Views
Kuna mambo mengi ya kuyaongelea kuhusu UDOM lakini jambo mojawapo ni kwamba UDOM haijawahi kuwa na uhaba wa hostel hivyo vyumba vya kulala vipo bwelele mpaka kuna vyumba watu wanaishi wawili tu...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Jaman ndungu zangu kwa anaeifahamu kozi hii ya mechatronics engineering anijuze vizuri ..... Na vipi kuhusu soko la ajira kwa sasa inalipa? Na je unaeza kujiajiri wapi ?
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nimechaguliwa certificate of clinical medicine lakn kaagzwa nipeleke vfaa hv ,clinical thermometer,stethoscope,glucometr,na Bp machine manual, include vtabu vya physiology na anatomy, naomba kujua...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
wakuu habari zenu Anaeuza vitabu tajwa hapo juu naomba tutafutane kwa namba 0625663714
0 Reactions
0 Replies
597 Views
Back
Top Bottom