Mkopo kwa vyuo

Mkopo kwa vyuo

aniasteph

Member
Joined
Aug 12, 2016
Posts
24
Reaction score
23
Mambo zenu?, kuna mtu anayejua lini majibu ya mkopo wa chuo? maana naona vyuo vinakaribia kufunguliwa ila kuna watu hawajajua kama wanapata ama lah
 
Mkopo hutolewa kwa kuzingatia
1..chuo
2..kozi
3..maelezo yako huko bodi.
 
Mikopo tunaitaka, Ila wakati wa kuirudisha kiroho kinauma hatareeee
 
Punguza myotoo,chaguliwa kwanza halafu ndoupate mkopo ama laa
 
Mchanganuo wa kupata mkopo kwa jinsi ninavyojua ni kwamba baada ya tume ya vyuo vikuu kudahili wanafunzi majina hupelekwa bodi ya mikopo then wanaangalia vigezo vyao ndipo wanatoa majina
 
Ndugu yangu punguza haraka. Sisi mwaka uliopita tulipata tukiwa vyuoni tayari.
 
Back
Top Bottom