Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Jamani sielew kabisa jinsi ya kupata admission letter ya apo udom,, kama kuna mtu anaelewa zaidi basi anieleweshe kwa ufasaha
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Mie nashangaa ninachokiona profile zimerud kama mwanzo
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Nina elimu ys form six nataka kusoms ualim diploma ya secondar lkn nadikia mwaka huu hakuna diploma ya secindar nimeshauriwa nichukue diploma ya msingi, kwahyo nikisoma hiyo diploma ya msingi...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Najaribu kuiupload hapa inakataaa sasa kama uliomba angalia kwenye website ya saut utayakuta
0 Reactions
1 Replies
2K Views
jamani vyuo vimetoa second selection afu bila ya diploma holder kuwepo kwa mfano mi niliomba baaf mocu.baf mzumbe ifm a/c iaa a/c na ardho b.sc AF
0 Reactions
6 Replies
901 Views
Jamani naombeni msaada wenu, kwa mweyekujua jinsi ya kupata joining instruction ya chuo cha Bandari Dar es Salaam au kama umesoma hapo, au kuna mtu unamjua anasoma hapo msaada plz.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hawa majamaa wanasubiri nini ili watoe post,,,wanachelewa hadi wanaboa
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Sasa tunaingia kwenye profile had leo wanasema system Ina finalize selection try again tarehe 5/10/16 daah sasa nashangaa leo tarehe kimya vile vile, moyo wa chuma unaitajika.
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Leo siku ya walimu Duniani na Kali mbiu ya mwaka juu ni 'Kuwaenzi Walimu ni kuwapandisha hadhi hadhi yao'
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wna jamii miimi nashangaa sana nimeingia katika profile yangu katika vyuo vyote nilivyoomba nashangaa kaika admission capacity wameweka zero(0) wakati hapo mwanzo kulikuwa na idadi sasa sijui...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndugu, habarini ... Ningependa kujua vyuo hapa vitoavyo shahada ya pili tajwa hapo juu. Kama nitapewa link nitashukuru.. Binafsi Ninamalizia shahada ya economics and statistics.. Mungu...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
NACTE WALISEMA SAA SITA MCHANA LEO WATAACHIA SELECTION ZA DIPLOMA NA CHETI MPAKA SASA HIVI SAA SITA SYSTEM WAMEFUNGA TUTEGEMEE KUJA KUONGEZA MDA HAWA JAMAA MATAPELI
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJamiiForums Naomba msaada kwa anae kijua chuo cha BESHA HELTH COLLEGE kilichopo Tanga, Je kimesajiliwa ? Msaada tafadhali
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Removed by user
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Here is the link ..... TCU FIRST AND SECOND SELECTION LIST OF BACHELORS PROGRAMMES or check the pdf o_O down
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Ni kweli kabisa wako wasomi ambao hawana faida kwa taifa, jamii na pengine hata kwa familia zao. Namna ya kuwatambua maprofesa hao ni kama ifuatavyo: 1. Wanapenda kuchanganya Kiingereza na...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu Naomba Kuuliza Mama Unataka Kuhama Kutoka SAUTI Branch Ya Arusha Kwenda SAUTI Mwanza Process Zake Zikoje? Msaada Tafadhali
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi upande wangu naona tusubiri majina watatoa tu na si kwamba awajui vyuo vinafunguliwa wanafahamu wanafavya hivyo pengine baada ya kutoa selection kusiwepo malalamiko mengi na wengine kujikuta...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom