Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza mwaka huu form six, nilichaguliwa first selection. Kwenye uchaguzi wa vyuo nilijaza vitatu hadi sasa viwili tayari na jina langu halipo, kimebakia NIT ndo chuo...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Chuo cha cha mwalim jk Nyerere campus ya dar kina hosteli
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Mzumbe mbona hawatoi majina au ndo kusoma mpka mwakani,????
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari njema kwa vijana wote wa diploma, ukiangalia profile yako utakuta ipo vile vile kama ulivyo maliza kuaapply lakini kama maombi yako tayari yameshafanyiwa kazi chuo kinakutumia email ya...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari wanajukwaa,kama kuna mtu anafaham tarehe ya kuripoti saut mwanza anifahamishe tafadhali
0 Reactions
1 Replies
760 Views
Jaman msaada kwa anaejua hii kozi, ukisoma unakua nan naa unaajiriwa wapi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ingia kwenye website yao au tuma jina nikuangalizie
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Msaada kwa anae jua location ya hiki chuo mahali kwa upande wa arusha jamani Wana jf
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Wenzangu na mimi wa Archbishop James University College, Municipal Campus tukutane hapa tupeane ABC juu ya chuo chetu.
0 Reactions
4 Replies
950 Views
[http://www.bugando.ac.tz/selections.html] fungua kwa hiyo link
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nafasi za Kidato Cha Kwanza kwa wasichana: Westigate Girls Westgate Girls ni shule ya wasichana ya bweni tu, shule imesajiliwa na wizara ya elimu kwa namba S.4948 iliyopo Kibaha Misugusugu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Jaman tcu mlipandisha grade ili tufeli ila bado tukachomoa one zetu na two zetu nzuri tu sasa huu ujinga wa kutunyima vyuo na kutusubilisha hivyo second round mnamaanisha nini?[emoji16] [emoji16]...
13 Reactions
56 Replies
7K Views
tukutane apa
0 Reactions
3 Replies
758 Views
Wakuu naomba tupeane updates kwa yeyote mwenye ufaham post za second round zitatoka lin?
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Ninaenda UDOM BA in economics and statistics nusaidieni hii coz iko poa and... niexpect carriers zipi
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Please msaada kwa yeyote mweny namba ya mkuu wa shule yoyote ya day/kutwa ya Advance yenye mchepuo wa PCM ama PCB iyopo Dar es salaam naomb anijulishe.. please please please
0 Reactions
3 Replies
827 Views
mwenye ana majina waliochaguliwa kairuki aseme
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kiukweli nimefurai sana kuona jina langu lipo kwenye list ya watakaosoma PRM chuo kikuu cha SAUT, hatimaye na mimi naenda nimepata furaha japo sijawai fika Mwanza, kwa undergraduate wenzangu...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Leo nacte kuna nn maana wanaandika SYSTEM CLOSED TO FAINALIZE SECOND SELECTION
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari zenu hao TCU hawajafungua hiyo third round kama walivyokua wanasema?naombeni majibu coz hata hao wengine wanapata shida kuona vyuo walivyochaguliwa sijui hii nchi ikoje watu hadi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom