Okeilomo720
Member
- Oct 2, 2016
- 35
- 24
Wakuu Naomba Kuuliza Mama Unataka Kuhama Kutoka SAUTI Branch Ya Arusha Kwenda SAUTI Mwanza Process Zake Zikoje?
Msaada Tafadhali
Msaada Tafadhali
Huyu Mtu Ndo Amechaguliwa Mwaka Huh Anataka Kuhama Branch Kutoka Sauti Mwanza Kwenda Sauti MwanzaMimi nilifanya hivi,,,,, nilipangwa chuo X .hivyo nikaamua kwenda chuo Y kucomferm na nilopokubaliwa wao chuo Y ndio wakanishughulikia suala langu hadi TCU kuwa mtu huyu kwasasa yupo chuo Y ,,, siku unaenda chuo Y lazima uende na matokeo yako halisi ya muda wote ulipokuwa chuo X..yaliyosainiwa na chuo ulichokuwa unasoma
Anhaa Kwa Hiyo Process Take Ni Saw a Tu Na Mtu Anayehama Chuo?Ingia akaunt yako ya TCU utaona sehemu imeandikwa Transfer, click hapo upate maelekezo ya kutosha.