Leo ni siku ya Walimu Duniani

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,354
Leo siku ya walimu Duniani na Kali mbiu ya mwaka juu ni 'Kuwaenzi Walimu ni kuwapandisha hadhi hadhi yao'
 
Kwa maajabu ya cwt hata kwenye website yao inawezekana hawajui kama leo ni siku ya walimu HAPPY TEACHERS DAY kazi ya wito piga kazi usiangalie nani kasema nini tema materials tupate kizazi bora kabisa baadae nawaheshimu sana walimu wote
 
we nn siku ya walimu ??? ha ha ha ha wenyewe hawajui wako mabarabarani na mabahasha ya copy za vyeti kwa ajili ya uhakiki.poleni walimu wa tz kwa kazi nzuri na ngumu.
 
ukimuuliza kuhusu hii siku mwalimu aliyeko kanyigo..nyangwale..pandagichiza au muzye anaweza kukukimbiza na mawe..ualimu ni wito lakini kwa TZ ni TOO MUCH.
 
Back
Top Bottom