Naomba kwa anayeifahamu UNICAF university anisaidie.

Naomba kwa anayeifahamu UNICAF university anisaidie.

KISIBU

Member
Joined
Aug 17, 2016
Posts
11
Reaction score
5
[ATTACH=full]412795[/ATTACH][ATTACH=full]412798[/ATTACH]
Ndugu waungwana natanguliza shukrani na heshima.
Naomba kama kuna mtu anakifahamu hiki chuo kwa undani anielezee tafadhali, nahitaji kujua kama nikweli kinatoa Online studies au ni cha utapeli.
Nashukuru kwa msaada wenu
 

Attachments

  • 1475690071431.png
    1475690071431.png
    78.3 KB · Views: 24
  • 1475690186160.png
    1475690186160.png
    22.8 KB · Views: 27
Ndugu kumeza mimi siwaamini kabisa mkuu
 
Ni moja ya chuo kikuu huko malawi, nilishawahi kuomba scholarship ya masters n walinipigia simu but it such expensive n i was not interested kusoma Malawi
 
Ni moja ya chuo kikuu huko malawi, nilishawahi kuomba scholarship ya masters n walinipigia simu but it such expensive n i was not interested kusoma Malawi
Hata mi wamenipigia na nimeapply mpaka mwisho sasa wanataka deposit ya 20$ kama application fee, hapo ndo nikahisi kama nataka kufanyiwa uhuni. Natamani nipate evidence za kutosha then nifanye maamuzi sahihi.
Asante sana ndugu
 
Back
Top Bottom