kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,507
- 17,640
Ni kweli kabisa wako wasomi ambao hawana faida kwa taifa, jamii na pengine hata kwa familia zao. Namna ya kuwatambua maprofesa hao ni kama ifuatavyo:
1. Wanapenda kuchanganya Kiingereza na Kiswahili hata pale wanapoengea na watu wa kaiwada tu.
2. Wanafanya tafiti kwa lengo la kupata faida binafsi na sio kutatua matatizo ya wanajamii.
3. Matokeo ya tafiti zao yako makabatini tu hayatekelezwi
4. Wanakosoa na kulalamika tu bila kuonyesha njia. Wanailaumu serikali kwa kila jambo hata lile wanaloweza kulitatua wao wenyewe kwa kutumia elimu zao na kuangalia nje ya box.
5. Wanapenda kuajiriwa kama watu wengine badala ya wao kutengeneza ajira kwa watu wengine. Wanaweza pia kugoma kama mshahara ukichelewa kidogo.
6. Hawathamini kazi za taaluma zao bali wanathamini kazi zenye maslahi kwao
7. Hawana tofauti na wengine katika maadili, wanaweza pia kuwa ni wala rushwa, mafisadi, wauza madawa ya kulevya, vibaraka, mapandikizi na wavunja sheria sawa na wananchi wengine tu.
8. Wanaona fahari kufanyakazi nchi nyingine kwa ujira mkubwa na kulipa kodi kubwa huko kuliko kufanyakazi nchini mwao kusaidia wanajamii wao wenye uhitaji wa taaluma zao.
9. Watoto wao hawana tofauti sana kimaadili na watoto wengine ndani ya jamii, hawasomi, wanatumia dawa za kulevya, ni machagudoa, mashoga kama wengine tu.
10. Huwa wanasoma slides badala ya ku present matokeo ya tafiti walizofanya wao wenyewe wanapopewa fursa ya kufanya hivyo. Kama umeme ukikatika au ikitokea hitilafu yoyote ya kiufundi huo ndio utakuwa mwisho wao wa kutoa mada hiyo.
11. Hawaandiki vitabu vyao wenyewe wanasoma tu vya wengine miaka yote hadi wakafe.
12. Kiutendaji, kiamaamuzi, kiuongozi hawatofautiani sana na watu wengine ndani ya jamii
13. Ukiwapa hela wanaweza 'kupika' matokeo