Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Majina ya waliochaguliwa kwenda chuo 2016/2017 bado ayajatoka uko tcu?
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna tukio limetokea huko Mbeya, ni tukio la kusikitisha sana, yan mwanafunzi anachapwa viboko kama mwizi aisee ni hatariii sana, kama video ulikuwa hujaiona cheki kwenye link ifuatayo Twitter...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naombeni kueleweshwa,NACTE kwenye profile yangu wameniambia nimechaguliwa arusha university kwa diploma,sasa naangalia majina ya waliochaguliwa pale sijioni mimi
0 Reactions
4 Replies
800 Views
waungwana naomba msaada kuhusu kufanya transfer kutoka chuo kimoja kwenda kingine je garama inagharimu kias gani? je inawezekana kubadili kozi uko unakokwenda? kuomba tranfer ufanyika online au...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
MATH -D COMMERCE- B B/KEEPING --D
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ningependa kujua ni lini Nacte uwa wanatoa majibu ya kujiunga na vyuo vya afya Mkuu soma taarifa hii hapa chini au tembelea wavuti wa NACTE TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGWA KWA MUDA WA KUPOKEA...
1 Reactions
406 Replies
74K Views
Habari Zenu wakuu.. Mimi nimechaguliwa Duce naomba kujuzwa changamoto za hiki chuo!! Pia kama kuna kubebana tukumbukane jamani
1 Reactions
195 Replies
19K Views
Wadau kama IFM wametoa majina ya second round, naomba mwenye link atupie hapa ase, maana nimeitafuta Bila mafanikio
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mtajwa halo juu naomba anitafute kupitia 0767874060
0 Reactions
3 Replies
814 Views
Jaman habarini za jioni samahani kama kuna yeyote aliyefanikiwa kuyadownload majina ya degree mwaka 2016/2017 aniPM Nimpe namba angu anitumie whatsup kozi asaiv kwenye simu yangu inandika not...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
SUA
Kuna aliyeomba SUA second round hum
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini Wana Jamvi Naomba ushauri/maono kuhusiana na suala lifuatalo; mimi nimechaguliwa chuo kimoja hapa Zanzibar lakini kwa sababu zangu zilizo nje ya uwezo wangu nataka nibadilishe. Natakiwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa wale mnao subir second selection TCU jaribuni kufatilia majina yenu kwenye vyuo vinavyoendelea kutoa majina mfano chuo cha saut Tabora hakikua kimetoa first selection lakin kimetoa first batch...
3 Reactions
44 Replies
7K Views
Ndugu wana jf naomba kuuluza hivi baada ya kuwa umechaguliwa umeanza kozi kazi ya profile ni nini au ndio inasha kazi yake
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu zangu naamini kunawatu bado hawamwogopi kabisaa Magufuri. Wakati nchi nzima wakilipwa hela ya likizo kwa walimu walioenda likizo mwezi Juni. Lkn mambo ni tofauti kwa walimu wa Ileje...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani naomba maelekezo ya namna Admission letters za UDSM nitazipataje...na je hakuna sehemu ya kuzidownload jamaniiii...!???
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kama umesoma SUA tafadhali pitia hapa usemi lolote kuhusu ajira na mengineyo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Presha iko juu nisaidieni, wapi second round ya ruaha, mwenge na iringa university?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
A: TECHNICIAN CERTIFICATE IN COMMUNITY DEVELOPMENT IN BUILDING AND CIVIL ENGINEERING CHUO CHA MABUGHAI COMMUNITY DEVELOPMENT TECHNICAL TANGA. B: TECHNICIAN CERTIFICATE IN CIVIL ENGINEERING AND...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari Mpaka sasa nacte kutokutoa selection wala kutokuwepo kwa taarifa yeyote elekezi ni kama kuonea wanafunzi kwa sababu kuna maandalizi yanayotakiwa yafanyike na wanaotarajia kujiunga na...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom