Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

System Closed... CENTRAL ADMISSION SYSTEM CLOSED Kindly note that the system is closed to allow Processing/Analyzing received applications. You are requested to try again on 5th October 2016...
0 Reactions
3 Replies
862 Views
Kuna yeyote wa diploma holder kapangiwa katika vyuo hivyo vilivyotoa majina ya wanachuo mana wako wanaosema Ata majina ya second selection yapo katika hizo selection...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Habari, Naomba mtu anisaidie tofauti ya hizo course. Naomba msaada maana tumekwama hapa. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
959 Views
Pitia link hii uangalie kama umechaguliwa First Batch of Students Selected to Join Masters programmes at Main Campus, Dar-Es-Salaam Campus College, Mbeya Campus College and Mwanza Centtre for...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
soma hapa majina ya waliochaguliwa kujiunga na Archbishop Mihayo University College of Tabora (AMUCTA) mwaka wa masomo 2016/2017.
2 Reactions
0 Replies
4K Views
NaombenI msaada kwa anajua tofauti ya hizi kozi bachelor of education in science na bachelor of science with education
0 Reactions
0 Replies
729 Views
Yeyote mwenye guide book ya nacte anitumie manake wameondoa nacte ciioni
0 Reactions
0 Replies
471 Views
Kwa wale wote walio appy diploma na certificate NACTE wamefungua kubadili choice na kuapply upya fungua account yako utaona au bonyeza hapa www.nacte.go.tz kisha bonyeza "Central addimission...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naomba kuuliza,mtu akimaliza degree pasi kupata supplementary,hiyo sifa inaitwaje?
0 Reactions
0 Replies
458 Views
Nina GPA 2.8, accountancy, niliapply kabla new GPA haijawekwa ya 3.0, nyumbani wananiona sifai hadi ninatamani kujiua ninapenda kuendelea na elimu ila kadri siku zinavyoenda ninazidi kuwaza sana...
1 Reactions
7 Replies
998 Views
Nawaza vijana wakiitisha Maandamano kushinikiza haki sawa watakuwa wamekosea ama ni haki yao. Kwa maneno machache kabisa kama uzi unavyojieleza si haki kwa jinsi vijana wa diploma wanavyofanyiwa...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Kama kuna MTU anajua tofauti ya advanced diploma na ordinary diploma na tofauti ya miaka ya kusoma kwa alietoka 4m 6 aliepata 3 au 3 nayo asaiv kama 4m 4 tu kwa anaejua?????
0 Reactions
0 Replies
541 Views
Natoa msaada weka namba yako ya o level nikupe majibu seehem uliyochaguliwa sasa hivi
1 Reactions
2 Replies
759 Views
Mwenye center anayehitaji mwalimu wa history and geography
0 Reactions
0 Replies
351 Views
Muda unazidi kuyoyoma na majibu hayapatikani. Ukiingia TCU wamekuandikia Provisionally Selected, ukiingia kwenye webs zao bado hakuna kilichowekwa. Sasa mimi niliomba physically MUM na nikapata...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
2ND OCTOBER 2016 22:35:00 TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA AWAMU YA TATU, UHAMISHO NA KUONGEZWA KWA MUDA WA KUFANYA MAOMBI KATIKA KOZI ZA ASTASHAHADA (CHETI) NA STASHAHADA (DIPLOMA) KWA MWAKA WA...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
The University of Dodoma ingia kuchukua form yako...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Naomba kujua kuhusu chuo hiki, nimechaguliwa kwa kozi ya diploma. kipo umbali gani kutoka mjini dodoma?, umbali wa hosteli hadi chuo? nk help please.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Naomba mwenye uelewa na hii course ni nzuri au...... Na vipi upatikanaji wa ajira?
2 Reactions
17 Replies
8K Views
Kuna ane fahamu kuhusu kozi za archaeology na anthropology pale udsm
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom