Boid
Member
- Jun 23, 2016
- 40
- 62
Kiukweli nimefurai sana kuona jina langu lipo kwenye list ya watakaosoma PRM chuo kikuu cha SAUT, hatimaye na mimi naenda nimepata furaha japo sijawai fika Mwanza, kwa undergraduate wenzangu waliobahatika kama mimi tukutane kwenye group la wasap kwa link hapo chini kuweza kupeana taarifa mbalimbali tusijekaribishwa na wahuni, nasikia vyumba kule pia ni bei poa sana japo course za kusoma ni nyingi mpaka tutashindwa kukariri.
https://chat.whatsapp.com/GFU98rVccY7FyJFBHilWQo
https://chat.whatsapp.com/GFU98rVccY7FyJFBHilWQo