incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,533
- 4,284
Jaman tcu mlipandisha grade ili tufeli ila bado tukachomoa one zetu na two zetu nzuri tu sasa huu ujinga wa kutunyima vyuo na kutusubilisha hivyo second round mnamaanisha nini?[emoji16] [emoji16] mi nimechoka ujinga wenu ikifka kesho kutwa kabla hamjatoa post za second round nitafanya uamzi mgum ambao hamjawahi kusikia!!!