florian michael
Member
- Jul 11, 2016
- 96
- 53
Mzumbe mbona hawatoi majina au ndo kusoma mpka mwakani,????
[emoji3] [emoji3] [emoji3] be partient soon wataupdateMzumbe mbona hawatoi majina au ndo kusoma mpka mwakani,????
31st October 2016Mzumbe mbona hawatoi majina au ndo kusoma mpka mwakani,????
Mkuu umenigusa sana. Mie first option ni Mzumbe. Second na Third option wameshatoa majina ambapo hakuna diploma holder alochaguliwa. Na hata waliochaguliwa ni wachache kuliku capacity ilokuwa imetajwa na vyuo husika.Issue kubwa ni kuwa na hakika umepata nafasi. Tcu hawajaweka wazi chuo ulichopangwa bali chuo ndio kitaconfirm. Kati ya vyuo vilivyotoa majina tayari haumo imebaki mzumbe tu nao hawatoi majina ili mtu apate uhakika tu kwamba kapangwa pale. Huu utaratibu sio kabisa
mzumbe kuanzia mwaka 2014 mwaka wa kwanza wote wanapata vyumbaYaani kuna ishu ya kuona kama umechaguliwa na nyingine kama umepata room halafu bado Heslb yaani mtu unateseka. Halafu waachie results bado wiki moja au mbili. Wacha tusome 1 2 3....
Sasa majina wanatoa lin,!.????? Mtaani nyie acha tu,,,,,!!!!mzumbe kuanzia mwaka 2014 mwaka wa kwanza wote wanapata vyumba