Flight attendant

Flight attendant

lian rich

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2016
Posts
303
Reaction score
291
Habari za humu ndani wakuu,
Naomba kujuzwa kwa mtu anaetamani kusoma coz ya flight attendant ngazi ya certificate anatakiwa kuwa na ufaulu upi na wa masomo yapi? Pia chuo kipi ni best kwa kozi hii na ada yake ni sh ngapi

Mwenye uelewa naomba anijuze Tafadhali
 
CHUO KIPO TERMINAL ONE PALE JK AIRPORT, NA PIA TABATA BAADA YA NJIA PANDA YA KWENDA MAWEZI KWENYE JENGO LENYE BENK YA CRDB CHINI .ADA NI ARROUND 3 M
 
Back
Top Bottom